Mimi nashangaa sana wadada wa kibongo, zari goodlife hajakutana nayo madale, kwanza hakuna goodlife pale.Zari anahangaisha wengi jamani. Ee KAMA KUFAKE RAHISI HEBU NA NYIE FANYENI HIVYO TUWAONE. MNALIA LIA MTU MWENYEWE MMEMKUTA LIFE YAKE HIO MIAKA NENDA RUDI.
MNATAMANI HATA MUMNYANGANYE WATOTO KWA KISINGIZIO SIO WAKE BALI ALI FAKE MIMBA aiseeee
Mimi nashangaa sana wadada wa kibongo, zari goodlife hajakutana nayo madale, kwanza hakuna goodlife pale.
Kwani dada yetu tununu anafeli wapi?? Nyumba za mill 60 zipo achama na ile ya 450ml ya south, yeye si apewe hiyo kwa ajiri ya mtoto!!!
Kwani dada yetu tununu anafeli wapi?? Nyumba za mill 60 zipo achama na ile ya 450ml ya south, yeye si apewe hiyo kwa ajiri ya mtoto!!!
Ilikuwa swala la muda tu yako wapi sasa!!! Kila kitu kimemwagika wambea tumefaidi
Ni ukweli mchuku bro hana hela tunazoaminishwa hapa mbagala, nakumbuka zawadi ya dada kupewa toyota porte.Nini tununu hakuna slay queen wa kibongo aliyehongwa nyumba ya maana vinapangishiwa vinachezewa weee mwisho wa siku kodi imeisha vinatupwa kuleee
Una hekima na akili we Dada mnooo!!nakupendaga sanaHalafu ukumbuke maisha yao wameamua kuyaweka kwenye mitandao so ni lazima waongelewe na kila mtu, mbona hatujawahi kusikia kesi za Nancy Sumari na mumewe? au Faraja Kota na mumewe? wana magumu yao lakini wanayamaliza wenyewe sasa wao kila kitu mitandaoni ulitakaje?
Eti ooh anakodisha magari, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kukodi range hapa bongo kwa matumizi ya masaa sita tu ni laki 3,sijui ferali itakiwa pesa ngali!!!So ndo apo sasa , badala ya kuhangaika na ndugu yao ajengewe hata banda , wenyewe wanahangaika na zari , who doesn't want maisha ya zari jaman kusema tu ukweli , maana kuhongwa nako kipaji, Tena kuhongwa jumba kama la zari ***** watu lazima wapagawe
Ni ukweli mchuku bro hana hela tunazoaminishwa hapa mbagala, nakumbuka zawadi ya dada kupewa toyota porte.
Write your reply... Wanawake wengne bwana, wanaoneana wivu. . mange ni chizi hajitambui! Maisha ya zari sijui yanamuhusu nin
Ni upumbavu sana, sijui mwisho wake iweje[emoji16][emoji16].Bro yupo kama kanumba enzi zile tuliaminishwa ana mahela,nyumba za kumwaga. Mwisho wa siku hata kibaraza hana. Bado zawad ya wema used car kumbe imekodiwa sehemu.
penda pia RaynaveroUna hekima na akili we Dada mnooo!!nakupendaga sana
Ana kila kitu kama anavyojinasibu lakini kakosa kitu kimoja tu 'Furaha', amekuja kurealize wote wanaompa mapesa wanamtumia tu kisha haooo wanarudi kwa familia zao ndio maana muda wote mkali mkali tu, depression hiyo na Mange kamshika pabaya akiendelea kumuandama asije aka commit a suicide jamani.
Mange yule ni mwehu kujibizana nae anaonekana yeye ndie mwendawazimu sasa.
Amempa akae na wanawe hawezi mtoa kirahisi atakua sio muungwana...!!!Basi ana akili sana,kuliko hata huyo diamond mwenyewe,
Na kama swala ni diamond kumuachia nyumba kila anaye zaa naye hamisa anafeli wapi!!!!
Haya mambo haya......
Ni upumbavu sana, sijui mwisho wake iweje[emoji16][emoji16].
Nadhani hata tununu, aliingia kichwa kichwa akijua uongo mbaya, kumbe ohoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Muda ni mwamuzi mzuri sana. Why ni south na sio hapo UG??Amempa akae na wanawe hawezi mtoa kirahisi atakua sio muungwana...!!!
Suala la muda tu kila kitu kitakaa sawa
Angekua hana stress asingekua anaota hawara mume within two days za mahusiano...tujifunze kua realistic jamani tusiishi kwa kujipa moyoDiamond kaongea aliyoona yanafaa kwa wakati huu.
Wengine wanaongea kama nani, mawifi, washauli, wanasheria, wapambe au walezi wa ndoa!!!
Binafsi naona alichojibu zali ni cha maana sana, yafaa sasa kila mtu ajitetee kwa silaha anayoiona mbele yake. **** yake imempa nyumba ya kuishi na magari ya kifahari, hayo ya stress na upweke mnayasema nyinyi, si anagongwa kila siku???
Bando la chuo wiki hadi wikiNa bado tutafaidi haswaaa!!ndo kwanza kaanza diamond mchawi bando tuuu!!!
Kwahiyo kumbe shida ni kutovaa shera, sio kuachwa na diamond tena!!!Angekua hana stress asingekua anaota hawara mume within two days za mahusiano...tujifunze kua realistic jamani tusiishi kwa kujipa moyo
Zari anatamani kuolewa ila hajapata wa kumuoa kama kila kitu kapata except marriage hicho ndicho kinachomfanya ang'ang'ane na vitoto ambavyo havijaoa akiamini vitamuoa!!!