Tatizo unalazimisha wote tuwe na mtizamo sawa, mahaba yako yasikufanye uwe kipofu kuona huyo mama kachanganyikiwa, mambo ya nyumba mimi wala sipo huko, namuongelea mambo yake kujibu watu hovyo na kuwadharau, hao watanzania kutwa wanaitwa mabox na low life lakini bado tu wanamfata sijui lugha ngumu au ndio kutokujielewa kwa wengi,
Na kusema eti kuweka mitandaoni sio tumuamulie kama alikua hataki azungumziwe asingeweka mitandaoni, mtu yupo late 40s huko anajifanya yupo mid 30's mpk UK wakamuumbua hahaha,
kwa title yake kushinda mitandaoni kutukanana na kina Hamisa, Wema na Mange ni ujinga wa kiwango cha kimataifa, ndio maana nikatolea mfano wa Huddah Monroe wakati mwingine bhana shule inasaidia sana.