Zari Amvaa Mange Kimambi..

Zari Amvaa Mange Kimambi..

Mm nilimuonaga zamani uyu mama kua hajiheshimu wala sio kama watu wanavyomdhani
Tangu achukue mavideo ya nusu uchi chooni na diamond, mama ake kafa kaenda mombasa na bwana ake kabla ya 40
Alinichoshaga kabisa
Wanawake wote ni viazi sana ndugu yangu, inategemea ni majira gani tu. Ila zari ana akili sana.
 
Mkuu izo nyota hapo, unamaanisha?
Diamond kaongea aliyoona yanafaa kwa wakati huu.

Wengine wanaongea kama nani, mawifi, washauli, wanasheria, wapambe au walezi wa ndoa!!!

Binafsi naona alichojibu zali ni cha maana sana, yafaa sasa kila mtu ajitetee kwa silaha anayoiona mbele yake. **** yake imempa nyumba ya kuishi na magari ya kifahari, hayo ya stress na upweke mnayasema nyinyi, si anagongwa kila siku???
 
Mtu kuweka kitu mtandaoni hana maana anataka umuamlie.

Ndio maana amejibu kilicho uhalisia, lakini sababu wengi wenu/wetu hatupendi hilo, wanagawa nunu bila mahesabu , mapovu kibao.

Leo hii mtu anaizungumizia nyumba ya diamond, utadhani kabla ya hapo zari alikuwa akiishi pangoni, hatujui ni nani alimshawishi dai anunue nyumba south, kwanini?? Na ilikuwaje dai akawa msikivu tu!!!

Haya mambo hata zari aliishawahi kuandika, kama tungejua ukweli wa mambo ingeleta shida, but sababu yeye amempenda dai(na dai amekili hilo), ilikuwa basi wacha tufurahi tu.
Tatizo unalazimisha wote tuwe na mtizamo sawa, mahaba yako yasikufanye uwe kipofu kuona huyo mama kachanganyikiwa, mambo ya nyumba mimi wala sipo huko, namuongelea mambo yake kujibu watu hovyo na kuwadharau, hao watanzania kutwa wanaitwa mabox na low life lakini bado tu wanamfata sijui lugha ngumu au ndio kutokujielewa kwa wengi,

Na kusema eti kuweka mitandaoni sio tumuamulie kama alikua hataki azungumziwe asingeweka mitandaoni, mtu yupo late 40s huko anajifanya yupo mid 30's mpk UK wakamuumbua hahaha,
kwa title yake kushinda mitandaoni kutukanana na kina Hamisa, Wema na Mange ni ujinga wa kiwango cha kimataifa, ndio maana nikatolea mfano wa Huddah Monroe wakati mwingine bhana shule inasaidia sana.
 
Mm nilimuonaga zamani uyu mama kua hajiheshimu wala sio kama watu wanavyomdhani
Tangu achukue mavideo ya nusu uchi chooni na diamond, mama ake kafa kaenda mombasa na bwana ake kabla ya 40
Alinichoshaga kabisa
Sio mzima kichwani na umesahau kwenye msiba wa mama yake wakawa wanashikana shikana kimahaba na Mond ambae leo hii anamuita 'domo' wakati kamjazia madomo humo ndani, hahahaha
 
Tatizo unalazimisha wote tuwe na mtizamo sawa, mahaba yako yasikufanye uwe kipofu kuona huyo mama kachanganyikiwa, mambo ya nyumba mimi wala sipo huko, namuongelea mambo yake kujibu watu hovyo na kuwadharau, hao watanzania kutwa wanaitwa mabox na low life lakini bado tu wanamfata sijui lugha ngumu au ndio kutokujielewa kwa wengi,

Na kusema eti kuweka mitandaoni sio tumuamulie kama alikua hataki azungumziwe asingeweka mitandaoni, mtu yupo late 40s huko anajifanya yupo mid 30's mpk UK wakamuumbua hahaha,
kwa title yake kushinda mitandaoni kutukanana na kina Hamisa, Wema na Mange ni ujinga wa kiwango cha kimataifa, ndio maana nikatolea mfano wa Huddah Monroe wakati mwingine bhana shule inasaidia sana.
Sina mahaba na zari, ila wanawake wote wenye msuli wa kuongea mbele za watu.

Leo hii zari kamtikana nani kama sio tu kukwambia ukweli!!! Wewe unaenda kwenye page ya zari unamzomea eti kaachwa na sasa anaolewa mtz mwenzako!!! Si ni bangi hizi! Unategemea akupe bango gani!!
 
Ana kila kitu kama anavyojinasibu lakini kakosa kitu kimoja tu 'Furaha', amekuja kurealize wote wanaompa mapesa wanamtumia tu kisha haooo wanarudi kwa familia zao ndio maana muda wote mkali mkali tu, depression hiyo na Mange kamshika pabaya akiendelea kumuandama asije aka commit a suicide jamani.

Mange yule ni mwehu kujibizana nae anaonekana yeye ndie mwendawazimu sasa.

Bora kulia kwenye Ferrari shostito , kuliko kulia kwenye Ma Tatizo kama ya mange Ndo shida Sasa , zari kawapiku mademu wengi sana Yule
 
Sina mahaba na zari, ila wanawake wote wenye msuli wa kuongea mbele za watu.

Leo hii zari kamtikana nani kama sio tu kukwambia ukweli!!! Wewe unaenda kwenye page ya zari unamzomea eti kaachwa na sasa anaolewa mtz mwenzako!!! Si ni bangi hizi! Unategemea akupe bango gani!!
Kusema ukweli kua mashauzi yake yote sababu anatembeza K yake sivyo? nilijua ni akili zake kumbe hana tofauti na wale wa Kimboka hahahaha
 
Bora kulia kwenye Ferrari shostito , kuliko kulia kwenye Ma Tatizo kama ya mange Ndo shida Sasa , zari kawapiku mademu wengi sana Yule
Yaani anaye salitiwa na mengi awe sawa na anayesalitiwa na mimi jamani[emoji16][emoji16][emoji16].

Wote wanalia sawa. Ila hawawezi kulia kwa namna moja.
 
Zari anahangaisha wengi jamani. Ee KAMA KUFAKE RAHISI HEBU NA NYIE FANYENI HIVYO TUWAONE. MNALIA LIA MTU MWENYEWE MMEMKUTA LIFE YAKE HIO MIAKA NENDA RUDI.

MNATAMANI HATA MUMNYANGANYE WATOTO KWA KISINGIZIO SIO WAKE BALI ALI FAKE MIMBA aiseeee
 
Back
Top Bottom