Zari Amvaa Mange Kimambi..

Zari Amvaa Mange Kimambi..

Huyu Dada nimempenda hata Mimi sisi wengine tunaongea ongea tu kukera watu!lakini culture gal anashusha nondo balaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mi nakera team Zari tu hapa waliokua wanafanya boss wao malaika
mpenzi unashusha fact mno [emoji122][emoji122][emoji122]yaani nimeona video yake anatoa ulimi nje yule mama hii ishu imemgusa mno.
 
Huyu Dada nimempenda hata Mimi sisi wengine tunaongea ongea tu kukera watu!lakini culture gal anashusha nondo balaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mi nakera team Zari tu hapa waliokua wanafanya boss wao malaika
Jana kuna sehemu niliandika kwa umri wa Zari na kujibishana Intragram ni tofauti kabisa na kwa Mange asiye kubali kushindwa kazi anayo.
 
Hapo hata Mimi nilimuonaga hamnazo kwa kweli yaani dah!

Yaani hata shetani anashangaaa hayo mambo kwa kweli alikosea bwana
Kabla ya 40 ya mama kweli mtu ukalalane na hawara ako mana sio mume nyege zinatoka wapi[emoji26].
Unachukua mavideo ya bafuni nusu uchi full malove bite [emoji26]
Afu watu wako nyumbani wanasema ndo mfano wao wa kuigwa.beaut with brain sijui
 
Hahahaha nakusoma tu unavyowakera na umejua kuwakera haswaa tangu juzi,,,, hahahaha we jembe sio kwa mashambulizi mengi vile

Mi nilishalipuuzaga hili bibi naona kubishana na mashabiki zake ni kupoteza muda tu
Huyu Dada nimempenda hata Mimi sisi wengine tunaongea ongea tu kukera watu!lakini culture gal anashusha nondo balaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mi nakera team Zari tu hapa waliokua wanafanya boss wao malaika
 
Basi ana akili sana,kuliko hata huyo diamond mwenyewe,

Na kama swala ni diamond kumuachia nyumba kila anaye zaa naye hamisa anafeli wapi!!!!

Haya mambo haya......

kujenga sio kazi rahisi chief, so wadada ukiwaambia nakupangishia au kukununulia nyumba unakuwa umejikusanyia point 3 muhimu akilini mwao alafu ndo unakula vzr pekupeku hawaogopi mimba kabsaa.

Mapenzi ni plans tu sioni diamond alipokwama,kama alimnunulia nyumba alafu mwanamke anacheat ndani ya nyumba yake(diamond) kumchafua ni haki yake kwakuwa ameshindwa kujiheshimu
 
Kabla ya 40 ya mama kweli mtu ukalalane na hawara ako mana sio mume nyege zinatoka wapi[emoji26].
Unachukua mavideo ya bafuni nusu uchi full malove bite [emoji26]
Afu watu wako nyumbani wanasema ndo mfano wao wa kuigwa.beaut with brain sijui
Ana ubeauty gani!!! Miguu minene kuzidi paja ndo ubeauty!!! Wa kawaida sana yule maza asitutishe na umaarufu tu
 
Dhambi kubwa ile hata mumeo huwezi lala nae ndani ya siku7 za mwanzo kwanza iyo hamu inatoka wapi
Tunaonekana hatumpendi lakini kiukweli anakosea mnoo...!!!
Zari ajitathimni kwanza abadilike for good reasons wanaume Hawaoi tu kirahisi hvyo Bi Sandra nafikri alimuuliza mwanawe kama msiba wa mama ake anafanya hivi,je wa kwangu?huyu sio mke huyu!
Kabla ya 40 ya mama kweli mtu ukalalane na hawara ako mana sio mume nyege zinatoka wapi[emoji26].
Unachukua mavideo ya bafuni nusu uchi full malove bite [emoji26]
Afu watu wako nyumbani wanasema ndo mfano wao wa kuigwa.beaut with brain sijui
 
kujenga sio kazi rahisi chief, so wadada ukiwaambia nakupangishia au kukununulua nyumba unakuwa umejikusanyia point 3 muhimu akilini mwao alafu ndo unakula vzr pekupwku hawaogopi mimba kabsaa.

Mapenzi ni plans tu sioni diamond alipokwama,kama alimnunulia nyumba alafu mwanamke anacheat ndani ya nyumba yake(diamond) kumchafua ni haki yake kwakuwa ameshindwa kujiheshimu
Na hapa ndio maswali yanapoanzia, hivi nyumba ya mwanaume mwingine, unapatia wapi nguvu za kuingiza bwana, ok hajui wala hayupo hapo nchini.

Mbona sasa bado kiburi cha kuwaingiza kinendelea!!
 
Kabla ya 40 ya mama kweli mtu ukalalane na hawara ako mana sio mume nyege zinatoka wapi[emoji26].
Unachukua mavideo ya bafuni nusu uchi full malove bite [emoji26]
Afu watu wako nyumbani wanasema ndo mfano wao wa kuigwa.beaut with brain sijui
Yote tisa kumi kwenye msiba wa mama yake yaani mwanamke utasema hajazaa macho makavu kwenye camera jitu nzima kupenda camera kuliko heshima yake
 
Back
Top Bottom