Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Nshawazoea Mimi halafu sinaga unaafiki Zari nilikua nampenda sana tu mambo yake ya ajabu yakafanya nimuone nae hamnazo
Hao mashabiki wake ni wale wenye chuki na watanzania !!!wanaoishu kwa kutegemea kudanga,wanaofikri maisha bila kudanga hutoboii!!!na akili lazima udange,ulalwe au kuishi mpk uwe tajiri au uwe na show off za ajabu ajabu

Hahahaha nakusoma tu unavyowakera na umejua kuwakera haswaa tangu juzi,,,, hahahaha we jembe sio kwa mashambulizi mengi vile
Mi nilishalipuuzaga hili bibi naona kubishana na mashabiki zake ni kupoteza muda tu