Zari amvua hirizi Tiffah

Kumvisha mtoto hirizi ni ujinga mkubwa kwani hivyo vitu vilifanywa na watu wa zamani kwa kutofahamu lkn sasa hivi mtu huwezi kumvisha huo uchafu mtoto wako ni sawa na kumkabizi shetani mtoto wako.

Big up Zari.

Je kumvalisha roazari...!?...
 
Wewe ndio huna akili, huwezi hirizi kuiita kitambaa, mchawi mkubwa wewe.
 
Kusoma hujui hata picha huoni

Zari kujua kuwakomesha wadai DNA yani kafanya kumfotokopi diamond, af kishatoa na tamko so on atazaa mwingine yani matumbo hayajapoa analianzisha tena uwiiiiii tutakoma tutajuta kuwafahamu
 
Hivi warumi ni mwanaume au mwanamke?maana hizi story zake huwa zimekaa kishambenga shambenga tu.
 
Hebu fanya kumtongoza ili ujue ana aina gani ya kifanyio...

Hivi warumi ni mwanaume au mwanamke?maana hizi story zake huwa zimekaa kishambenga shambenga tu.
 
Inamaana exposure yoote diamond aliyopata imeshidwa kumuondolea mawazo ya ki_primitive, kama mtoto anavalishwa hirizi hadharani sijui uko sirini baba ana ngapi.
 
Ni ushirikina kumvalisha mtoto hirizi, kama Mungu aliweza kumlinda tumboni miezi9 atashindwa kumlinda duniani? Huyo mamake diamond naye anaonekana kakaa kidunia zaidi, ibada zinampitia kando hata habari hana.
 
Ushirikina au uchawi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…