beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
-
- #101
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli beautifulonyinye siwezi kujua sababu za yeye kumficha huenda ni mwanae kweli au simwanae...ukweli anao yeye na ndugu zake...ana muonekano mzuri yet hata ungekua na watoto saba hakosi mwanaume wa kumchezesha sebene
Na hii hapa Cameraman?
View attachment 368067
@baby_ake - HHahahha jamani watu wanaumbuka sio mchezo ivi unajua nna jiuliza mtu una muapia mungu kabisa uongo ivi uogopi jamani Nataka kujua Zari alimzaa Zuleha akiwa na miaka mingap
Mlokuwa mananiambia nna amdika vt sivijui naona mnaanza kunisoma eti nnajua chimbuko la Zari mnazani mim ni mkurupukaji
Zari inabidi uingie kwenye kitabu cha record sasa kwa wale walio kuwa wanase,a zari ana miaka 41 sasa naona mmeanza kupaya picha kwamba ninuongo zari ana miaka 35 mwaka huu aa timiza miaka 36 so awezi kumza zuleha mwenye miaka 28 lije jua ije mvua kije kipindu pindu kije kisonono Zari kumzaa Zuleha ni ajabu la 8 la dunia mtoto wa miaka 8 kuzaa... so you guys do better acheni kumshuudia mtu uongo unahapa na miungu yoote duniani asa apo Zari kamzaeje mtu na ata nanyonyo hana alimyonyesha nn na alimtolea kwenye uc*i gani akati alikuwa ata penselu aiingii
Ila wakina Zari wamefanana jamani apo ukiniuliza Faith,sijui Zara au ashu simjui wamefanan iyo picha ni b4 yule mtoto wa kiume aja zaliwa
Yule mtoto wa kiume ndio wa mwisho na sio Zuleha tena Zuleha si ajabu akawa ni wa 3 kutoka mwisho Zara akawa na dada yake
$$$$%%%%%#$$%&&+$$&++%%%+
Haya wewe kama unasema unajua udaku wa kufata na kuingiwa na stresi za mtalakwa ambae ex-mume wake analala na rafiki yake mzimbabwe ambaye anamuogopa kumpaka ili asigungwe. Na sasa kaamishia kutunga uongo wa Zari...
Haya hao sisters hapo, kwa hiyo Zari kamzaa huyo dogo hapo hiloooooooo eeeeeehhhh
Wachambuzi wapo wamechambua kale ndimu
Mkuu umemaliza wanakera kweli yao wameyasunda, Kwani Dai kawalalamikia anaogelea? Wawaache na maisha yaokwa hiyo cha ajabu ni nini hapo?! kama amemkana na mwanae ni mwanae aliyekanwa sio wako! kama mtoto ana umri sawa na baba yake wa kambo ni juu yao!
40-28=12 tafuta habari nyingine uje nayo.
Hahahahaaaaa hii issue imetoka Uganda, kama kawaida Mange ni daraja.Mbona Zari kahojiwa hajakanusha?
Are you still on these stories????? Mi nlishasahau.hahahaaaaa don't take things too seriously. Sasa umenijibu ili na mm niseme chochote nn? [emoji3][emoji3]. Kama unataka tufanye mambo ya maendeleo, there was no need to quote me coz I had no idea that I contributed on thisZari amekanusha katika kichwa cha habari, lakini ndani kakubali. Anasema mmoja ni stylist, musician, artist n.k kwamba ni kitu kimoja, halafu akaongea tena juu ya wale wawili wa kiume. Alipoulizwa kwa hiyo Tiffa ni msanii? Akasema, wakaache tu ka Tifaa kake. Mbili na mbili.
Lakini maisha ya watu yanatija gani kuyaongelea? Kuzaa mtoto siyo aibu wala si fedheha. Anavyomkataa mtoto wake akidhani anajiokoa, afahamu anamsukumia mtoto wake mkaa wa moto, yaani yeye apone mtoto aungue. Atagundua muda si mrefu.
La pili, kuhusu umri, hata angelikuwa anamiaka 60, bado siyo tatizo iwapo analipa kwa mpenzi wake. Hakuna mtu alimchagulia mume au mume kuchaguliwa mke. Ndoa ni zaidi ya umri, sura, au historia ya mtu.
Kinachoangaliwa na wakko wapi na wanaelekea wapi.
Natamani mada kama hizi zingelikuwa zinazungumza namna ya watu kpanga goals, vision and mission katika maisha yao. Kushirikishan skills and kudevelop talents. Kuongeza competitiveness katika kazi na biashara, positive social life development, namna ya kusaidia atoto watambue na kuwalea kwenye vipaji vyao, kupeana habari za fursa mbali mbali za maendeleo na kusaidian abadala ya upumbavu wa kiswahili cha mkekani.
Acheni jamani, maisha ni zaidi ya kulumbana kwa masuala yasiyo na msaada wala tija.
Kivipi mkuu?Japo nifah anamwanda mange ila mange ni mpigaji
Unauliza nini Cameraunknownsex/Camerashemale?
Tumbua macho yako, ukiwajua sura utawatambua humo. Tamaa ya maisha ya watu itawaua kabla ya siku zenu... Zari ni ngoma ingine...amekaa miaka mingiiiii kwenye media eti leo ndio aibuke mtanzania mwenye stresi za tslaka aibue liskando la karne hiii aaaaaaaaa na hao mapaparazi wa tangu miaka wajuao hata wapi kakulia hawakuona au kupewa tetesi na kuchunguza...eeehhhh no pesa za bure kwa uongo wa kutunga chini ya uvungu wa kitanda....hayooooo mumeumbuka
Hata ID mia umaumbuka
Kwa akili zako sio ajabu unadhani mtoa mada ni mimi.
Tamaa ya maisha watu? For your information tupo tulio na hela nyingi kuliko huyo Boss lady useme tu hatupendi ile media attention. Kwani hizo tetesi kaja nazo nani? Socialite mwenzake. Kama ujuwi mwaga mboga nimwage ugali ndio mtindo wa masocialites. Na bado, yatatubuliwa mengi. Ikikuwasha log out.Unauliza nini Cameraunknownsex/Camerashemale?
Tumbua macho yako, ukiwajua sura utawatambua humo. Tamaa ya maisha ya watu itawaua kabla ya siku zenu... Zari ni ngoma ingine...amekaa miaka mingiiiii kwenye media eti leo ndio aibuke mtanzania mwenye stresi za tslaka aibue liskando la karne hiii aaaaaaaaa na hao mapaparazi wa tangu miaka wajuao hata wapi kakulia hawakuona au kupewa tetesi na kuchunguza...eeehhhh no pesa za bure kwa uongo wa kutunga chini ya uvungu wa kitanda....hayooooo mumeumbuka
Hata ID mia umaumbuka
Kwani vepeeee?Tuliza povu Dada.Hii kali!!!!... Ni kwa akili zako unanidakia tu jumu.
Kweli unafikiri mimi ninayeingia humu jamiiforum kujiburudisha, nina mda wa hata kufikiria mliomo humu nisiowajua kabisaaaa...tena haswa msioniogusa hata katika kubadilishana ideas za kusaka noti...kweli wewe nikudhanie eeeee imebidi nicheke...