Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani umeambiwa huyo apo ndiyo wa mwisho kuzaliwa? pengine huyo wa kiume wa mwisho alikuwa hajazaliwa? timu mange mnashida sana.....
Mkuu zari Ana over 40
Hata kama ni kweli mie naona bado mrembo na anavutia kwa kweli.......mie kama ni Zari ningesema nina miaka 50.....kuliko hao wana miaka 20 lakini utasema wana miaka 40 walivyochoka .it is not true,wala hajafika 40, achane kusema vitu msivyo na ushaidi navyo khaaaaaaaaaa
Hata kama ni kweli mie naona bado mrembo na anavutia kwa kweli.......mie kama ni Zari ningesema nina miaka 50.....kuliko hao wana miaka 20 lakini utasema wana miaka 40 walivyochoka .
Ndiyo kitu kikubwa kabisa ninachoweza kumsaidia Mangehahahaaa............yani umewaza kugegeda tu.....ila wengine wakiwa katika hali kama hiyo uwa hawatamani hayo mambo.......Mange aanze upya tu...kwanza mtoto wa mjini.
hhaaaa aya bwana toa kilicho ndani ya uwezo wako.Ndiyo kitu kikubwa kabisa ninachoweza kumsaidia Mange
Hakuna pichaHabari zenu wakuu..
Mm binafs nimekuwa mfuasi mkubwa wa Mange kimambi kwasababu anafichua ukweli uliojificha katika jamii.
Kwa miaka mingi zari amekuwa akimficha mtoto wake wa kwanza ambaye amemzaa akiwa shule na kudanganya umma kwamba yule ni mdogo wake. Sasa mambo yameharibika mange kashamwaga Mchele.. Na pia zari Hana miaka 36 Kama watu wajuavyo Ana miaka zaidi ya 40 ..
Kwa hali hiyo mtoto wa zari anamzidi babake wa kambo Mwaka mmoja.[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah nimecheka Sana baada ya kutembelea page ya mange, swali limekuja kwann zari aongope kwamba zuleha sio mwanae? Bali mdogo wake?
Nimewawekea picha hapo chini[emoji116] [emoji116]
[/IMG][/IMG]![]()
View attachment 368067
@baby_ake - HHahahha jamani watu wanaumbuka sio mchezo ivi unajua nna jiuliza mtu una muapia mungu kabisa uongo ivi uogopi jamani Nataka kujua Zari alimzaa Zuleha akiwa na miaka mingap
Mlokuwa mananiambia nna amdika vt sivijui naona mnaanza kunisoma eti nnajua chimbuko la Zari mnazani mim ni mkurupukaji
Zari inabidi uingie kwenye kitabu cha record sasa kwa wale walio kuwa wanase,a zari ana miaka 41 sasa naona mmeanza kupaya picha kwamba ninuongo zari ana miaka 35 mwaka huu aa timiza miaka 36 so awezi kumza zuleha mwenye miaka 28 lije jua ije mvua kije kipindu pindu kije kisonono Zari kumzaa Zuleha ni ajabu la 8 la dunia mtoto wa miaka 8 kuzaa... so you guys do better acheni kumshuudia mtu uongo unahapa na miungu yoote duniani asa apo Zari kamzaeje mtu na ata nanyonyo hana alimyonyesha nn na alimtolea kwenye uc*i gani akati alikuwa ata penselu aiingii
Ila wakina Zari wamefanana jamani apo ukiniuliza Faith,sijui Zara au ashu simjui wamefanan iyo picha ni b4 yule mtoto wa kiume aja zaliwa
Yule mtoto wa kiume ndio wa mwisho na sio Zuleha tena Zuleha si ajabu akawa ni wa 3 kutoka mwisho Zara akawa na dada yake
$$$$%%%%%#$$%&&+$$&++%%%+
Haya wewe kama unasema unajua udaku wa kufata na kuingiwa na stresi za mtalakwa ambae ex-mume wake analala na rafiki yake mzimbabwe ambaye anamuogopa kumpaka ili asigungwe. Na sasa kaamishia kutunga uongo wa Zari...
Haya hao sisters hapo, kwa hiyo Zari kamzaa huyo dogo hapo hiloooooooo eeeeeehhhh
Wachambuzi wapo wamechambua kale ndimu
Tatizo mnajifanya mnamfahamu zaidi Zari kuliko anavyojifahamu yeye mwenyewe! Sasa miaka zaidi ya 40 ndo miaka mingapi? Miaka 50, 60 au mingapi hasa?! Yaani magazeti ya udaku ya Uganda pamoja na kumfuatilia sana Zari kwa miaka kadhaa; miaka yote hii yasiandike kwamba ana miaka zaidi ya 40 na anaNa pia zari Hana miaka 36 Kama watu wajuavyo Ana miaka zaidi ya 40 ..
haha duuTatizo mnajifanya mnamfahamu zaidi Zari kuliko anavyojifahamu yeye mwenyewe! Sasa miaka zaidi ya 40 ndo miaka mingapi? Miaka 50, 60 au mingapi hasa?! Yaani magazeti ya udaku ya Uganda pamoja na kumfuatilia sana Zari kwa miaka kadhaa; miaka yote hii yasiandike kwamba ana miaka zaidi ya 40 na ana View attachment 368939 mtoto aliyezaliwa mwaka 1988, mambo hayo yaje kufahamika na akina nyie ambae mmeanza kumfahamu Zari juzi tu hapa?! Hivi hamjisikii hata aibu mnavyojaribu kushindana hadi na wanaowafahamu hao watu kuliko nyinyi? Mwenyewe kaweka picha yao nyingine hii:
View attachment 368939
Hivi kabisa mnaamini hapo alipo anaweza kuwa na mtoto? Au kabisa mnaamini age difference hapo inaweza kuwa +15?! By the way, yaani King Lawrence alivyokuwa anapenda kumripua Zari, ndo angeacha kuanika kwamba Zuleha ni mtoto wa Zari? Au nae alikuwa hafahamu?!
nimependa hapa kwa king lawrence!!!Tatizo mnajifanya mnamfahamu zaidi Zari kuliko anavyojifahamu yeye mwenyewe! Sasa miaka zaidi ya 40 ndo miaka mingapi? Miaka 50, 60 au mingapi hasa?! Yaani magazeti ya udaku ya Uganda pamoja na kumfuatilia sana Zari kwa miaka kadhaa; miaka yote hii yasiandike kwamba ana miaka zaidi ya 40 na ana View attachment 368939 mtoto aliyezaliwa mwaka 1988, mambo hayo yaje kufahamika na akina nyie ambae mmeanza kumfahamu Zari juzi tu hapa?! Hivi hamjisikii hata aibu mnavyojaribu kushindana hadi na wanaowafahamu hao watu kuliko nyinyi? Mwenyewe kaweka picha yao nyingine hii:
View attachment 368939
Hivi kabisa mnaamini hapo alipo anaweza kuwa na mtoto? Au kabisa mnaamini age difference hapo inaweza kuwa +15?! By the way, yaani King Lawrence alivyokuwa anapenda kumripua Zari, ndo angeacha kuanika kwamba Zuleha ni mtoto wa Zari? Au nae alikuwa hafahamu?!
Shemeji yetu kutoka Uganda anadaiwa kuwa na mtoto mwingine mkubwa rika na Diamond chanzo kimoja kutoka huko kwao Uganda kinasema, Zari alipohojiwa na alidai ni uongo