Tetesi: Zari Ana mtoto wa 1988

Tetesi: Zari Ana mtoto wa 1988

image.jpeg
Hivi inawezekana kweli #5 amzae #3??
Duuuuh.....Basi itakuwa balaa....
 
Duh mie kwa hili naona mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Zari sio kweli anaweza kua above 40 huo ni uongo wa hali juu., Hata kwa kumuangalia huo umri mrefu ila huyo Mange ukinambia ana 49 naweza amini kakomaa sana na tu nyama hana.Hapa Zari mnamuonea hajafika huko 40 mtoto wa watu.. Hili mange muongo!
 
View attachment 368067

@baby_ake - HHahahha jamani watu wanaumbuka sio mchezo ivi unajua nna jiuliza mtu una muapia mungu kabisa uongo ivi uogopi jamani Nataka kujua Zari alimzaa Zuleha akiwa na miaka mingap

Mlokuwa mananiambia nna amdika vt sivijui naona mnaanza kunisoma eti nnajua chimbuko la Zari mnazani mim ni mkurupukaji

Zari inabidi uingie kwenye kitabu cha record sasa kwa wale walio kuwa wanase,a zari ana miaka 41 sasa naona mmeanza kupaya picha kwamba ninuongo zari ana miaka 35 mwaka huu aa timiza miaka 36 so awezi kumza zuleha mwenye miaka 28 lije jua ije mvua kije kipindu pindu kije kisonono Zari kumzaa Zuleha ni ajabu la 8 la dunia mtoto wa miaka 8 kuzaa... so you guys do better acheni kumshuudia mtu uongo unahapa na miungu yoote duniani asa apo Zari kamzaeje mtu na ata nanyonyo hana alimyonyesha nn na alimtolea kwenye uc*i gani akati alikuwa ata penselu aiingii

Ila wakina Zari wamefanana jamani apo ukiniuliza Faith,sijui Zara au ashu simjui wamefanan iyo picha ni b4 yule mtoto wa kiume aja zaliwa

Yule mtoto wa kiume ndio wa mwisho na sio Zuleha tena Zuleha si ajabu akawa ni wa 3 kutoka mwisho Zara akawa na dada yake


$$$$%%%%%#$$%&&+$$&++%%%+

Haya wewe kama unasema unajua udaku wa kufata na kuingiwa na stresi za mtalakwa ambae ex-mume wake analala na rafiki yake mzimbabwe ambaye anamuogopa kumpaka ili asigungwe. Na sasa kaamishia kutunga uongo wa Zari...

Haya hao sisters hapo, kwa hiyo Zari kamzaa huyo dogo hapo hiloooooooo eeeeeehhhh
Wachambuzi wapo wamechambua kale ndimu
Yaani stress zitampeleka kubaya,na asipokuwa makini atanyang'anywa hadi watoto,kweli nimeamini yule dada hana akili
 
Kwa hiyo huyo mtoto alimzaa akiwa na miaka 12?
 
Mange hadi umemtukana mama yake Zari kuwa ni mzee asingeweza kuzaa mtoto wa umri huo, na kumuongezea umri Zari huku unajua huyo mdogo nae ana mdogo wake wao wa kiume...kweli talaka mbaya tena ukijijua unaishi kwenye mitandao hadi ukasahau kuwa mke na kuachika...

Eeeh na ile eti mzungu anakuzimia wewe celeb unajulikana mbona bado kakurushia talaka chungu haswa...haya kalalie vibabu...achana na Zari...ambaye hata mapaparazi wa uganda ni pesa tu wanamsaka kumtumbua wapi...hongera kwa kumuongezea umaarufu

Kamjaribu shosti wako mzimbambwe anamla mumeo sasa hivi akumalize umamuogopa hiloooo...wivu tu umekujaaaaaa

Ex-mume na Ex-shosti wako hao...watafute wao kama una mishipa tuone kwanza wewe mtemi, sio kumtafuta Zari kwa wivu wa pia kumtamani Diamond.

View attachment 368074
Saizi anadai eti wazungu hawana joto[emoji23] [emoji23] wakati mwanzo aliwaponda wanaume weusi.
All in all kanikera kumwita mama wa Zari "Hiki Kibibi"
 
Hahahahaaaaa hii issue imetoka Uganda, kama kawaida Mange ni daraja.Mbona Zari kahojiwa hajakanusha?
Kasema yy ana mtoto mmoja wa kike ambaye ni Tiffah,ila kwa hili ningekuwa mm ningempa mange kiki apunguze stress,ningesema yes Zuleha ni mwanangu
 
Saizi anadai eti wazungu hawana joto[emoji23] [emoji23] wakati mwanzo aliwaponda wanaume weusi.
All in all kanikera kumwita mama wa Zari "Hiki Kibibi"
Hata kupewa talaka alipinga kwa nguvu zote "mpare hawezi kupewa talaka" sa ivi hana jinsi anakubali she is the single mother baada ya watu kuyajua ya kwake pia
 
Hata kupewa talaka alipinga kwa nguvu zote "mpare hawezi kupewa talaka" sa ivi hana jinsi anakubali she is the single mother baada ya watu kuyajua ya kwake pia
Alitumia nguvu nyingi kupinga mwisho wa siku kichwapanziiiii kamuumbua
 
Kama huyo mtoto ana miaka 28 Zari ana miaka mingapi? Alimzaa akiwa na miaka mingapi? Zari ana sababu gani ya msingi kumficha mwanae ikiwa alimzaa hata kabla ya kuwa na Diamond? Bado sioni tija ya kuonesha huyo ni mtoto wake na alimficha.

NB nilisikia Zari ana miaka 35!

Sasa kama utapiga mahesabu utagundua ni uongo au lah
Stress zinawatesha sana timu vigodoro na hivi maisha yamewapiga hawana jipya....hizi nguvu wanazotumia wangefanya harambee wakomboe gari la boss wao
 
Back
Top Bottom