Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ulijuaje hakuwa na machungu? au kwakuwa alipiga picha na kuhojiwa? sasa ulitegemea zari asifatwe na mediaKwahiyo ulikosea kumuoa mkeo ?
Binafsi huyo zari msiba wa mama yake alileta usuperstar zaid kuliko kawaida nimejifunza huyo mdada kichwan huenda ana tatizo kubwa .
Dada zake na ndugu wengine walikuwa na uchungu na hata hisia Kali za msiba yeye alikuwa bize na kuteka media
Sema ana tofauti na mkeo sio wanawake wote wako tofauti na Zari.Swala la hekima huo ukanda ni jambo la kawaida japo si wote wanafanya ....Zari ana tamanisha kuolewa na kila mwanaume...yani ana utofauti mkubwa sana na wake zetu....
Anarekebisha makosa yake wakati wa msiba wa ivanSwala la hekima huo ukanda ni jambo la kawaida japo si wote wanafanya ....Zari ana tamanisha kuolewa na kila mwanaume...yani ana utofauti mkubwa sana na wake zetu....
Wasukuma ni zaidi au siyo rubiiUkitaka wanawake wenye heshima kaoe Iringa, wale akija mgeni wanamwamkia kwa kukunja goti
Bafundishe baelewe kuwa misungwi ndo mwisho na mwanzo tanga ni hekaya za abunuasiAtakua mgeni usukumani, huku heshima inaanzia ndani sio kwa wageni tu na goti hatukunji linaenda mpaka ardhini