Zari anamuheshimu sana Diamond Platinumz

Zari anamuheshimu sana Diamond Platinumz

Hivyo ndivyo inatakiwa iwe Mkuu. Huyu mwanamke ana akili sana ya kuishi na mtu ampendaye. Sijui mume wa kwanza alimkorofisha nini hadi wakaachana maana anajua pia kutia pamba masikioni kudharau yote ya akina pangu pakavu tia mchuzi.



ZARIthebossLady a.k.a Zarina Hassan a.k.a Zari mke wa msanii mkubwa East Africa Diamond Platinumz ameonyesha heshima kubwa alipokuwa akimkaribisha mume wake Diamond platinumz kwenye msiba wa mama yake mzazi Zari huko Uganda.



haya mambo Hamissa mobeto ataweza au wemasepetu angeweza?​
 
Back
Top Bottom