Zari anamuheshimu sana Diamond Platinumz

Wanaume wa bongo acheni dharau kwa wanawake wa kibongo kamuoe sasa
 
mkuu ulijuaje hakuwa na machungu? au kwakuwa alipiga picha na kuhojiwa? sasa ulitegemea zari asifatwe na media
 
Swala la hekima huo ukanda ni jambo la kawaida japo si wote wanafanya ....Zari ana tamanisha kuolewa na kila mwanaume...yani ana utofauti mkubwa sana na wake zetu....
Sema ana tofauti na mkeo sio wanawake wote wako tofauti na Zari.
 
Swala la hekima huo ukanda ni jambo la kawaida japo si wote wanafanya ....Zari ana tamanisha kuolewa na kila mwanaume...yani ana utofauti mkubwa sana na wake zetu....
Anarekebisha makosa yake wakati wa msiba wa ivan
 
Atakua mgeni usukumani, huku heshima inaanzia ndani sio kwa wageni tu na goti hatukunji linaenda mpaka ardhini
Bafundishe baelewe kuwa misungwi ndo mwisho na mwanzo tanga ni hekaya za abunuasi
 
Nishawahi kuwa na demu wa Kiganda lakini tofauti kabisa
 
Mtoa mada mi napenda jina lako sana.,hivi obie trice alifia wapu? Tangu atoe Snitch hajasikika tena,ilikuwa ni 2007 / 08 kama sikosei
 
hapo wanawake wenzie wakija humu watapinga hilo maana wanawake wa kibongo nimewanyanyulia mikono
 
Hivi ni mkewe au mzazi mwenzake, walioana lini tena..?!
 
Ahaaa hiyo kawaida sana nilianza kufanya nikiwa na miwka 3 hana jipya mbona tunafnya kila kukicha?

Anachokijua saana kuzidi hicho ni kupost insta hata maiti haijazikwa yupo busy.
 
Ukisha na watoto watano lazima uwe na heshima kwa mwanaume wako....vitu vingine vinakuja automatically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…