Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNATAKA VIGEZO AU UNATAKA KUIFAHAMU BONGO FLAVAMkuu nakufagilia sana umeongea pointi, sasa mwalimu wangu mimi nina swali dogo tu, hao uliowataja hapo kwenye red umewapima kwa vigezo vipi yaani uniambia wamefanya hiki na kile na kile na kile ....................... ( unitajie vigezo vinavyotumika kimataifa vya kupima wasanii "MSANII ALIYE JUU YA MWENGINE/ WENGINE" na kwa vile umesema unaujua sana huu muziki bila shaka hata vipimo vya kimataifa unavijua. ) Maana kama ni kusema tu hata mimi naweza kusema kuwa Harmonize yuko juu ya Kiba, ila ukiniuliza kwa vigezo gani ndio natakiwa niviainishe sasa wewe mkufunzi wangu hebu nisaidie kwa hili.
mkuu mtu anapimwa kwa achievements.... Takwimu hazidanganyiUNATAKA VIGEZO AU UNATAKA KUIFAHAMU BONGO FLAVA
kumbe hujui wanaofanya ujinga, ndo wanaouza. kwanza niache, huyu mond anafuata nyayo tu, hamna jipyamkuu mtu anapimwa kwa achievements.... Takwimu hazidanganyi
Watu wengi wanashindwa kumuelewa Zari anaposema tatizo ni Chibu yani Diamond.
Ali Kiba akitoa wimbo mashabiki wake wanakimbilia kwenye page za Diamond au watu wa karibu yake kulazimisha wausapoti uwezi kuwaona kwa wasio mhusu.
Diamond akipata dili ya tangazo wanaibuka watetezi feki wa haki za wanawake na kulia kwa uchungu kwa nini apewe tangazo ilihali anadhalilisha wanawake! Ukiuliza kamdhalilisha nani? Watakwambia Wema. Kivipi? Hakuna majibu ya msingi.
Tuzo zikitangazwa duniani kote lisipokuwepo jina la Diamond zinapita kimya kimya.. Likiwepo jina lake inaanzishwa kampeni kumpigia kura mnaijeria yoyote ili kumpa upinzani Chibu.
Diamond akisaidia wasanii wachanga kwao sio habari nzuri. Diamond akijenga msikiti kwao sio habari nzuri. Diamond akisaidia mashuleni kwao sio habari nzuri.. Diamond akifanya wimbo na mnaijeria na akitolea video south Africa.. Utasikia sioni kwa nini wasanii wanakimbilia kufanya video nje, mara muziki wetu unakuwa wa kinaijeria.. Kesho nao unasikia wamepanda ndege kufanyia video South Africa au wanafurahi wamepata collabo na mnaijeria.. Kwa Diamond muziki unakufa, wao wakivuka boda muziki unakuwa.
Lazima tukubali Diamond kwa sasa ndio daraja letu la kuivusha bongo fleva.. Wapo wasanii wamefanya makubwa kuufikisha huu muziki hapa kina Prof J, AY, Sugu nk lakini kiukweli Diamond amekuja kufanya mapinduzi makubwa mno. Kuna watu walifanya harakati nyingi kuubadili muziki umlipe zaidi msanii wengine waliishia kutukana matusi na ubabe ila Diamond katumia njia za kisayansi kuibadili game yetu na kiukweli game kaibadili mno ata km atupendi kukubali hili. Vitu wanavyofanya na njia wanazopita sasa yeye ametoka huko miaka 4 iliyopita.
Wakati Kiba anafurahi kusainiwa label ya kimataifa. Diamond anapambana kuipeleka label yake kuwa ya kimataifa, baada ya miaka mitatu wengi ndio mtaelewa tofauti ya Chibu na wengine.
Mtamchukia Tiffa, Zari, Babu Tale, Sallam, Fella, Kifesi lakini awa ni kafara tu ishu hapa ni Diamond. Awa wangekuwa mtaani huko awausiki na mafanikio ya Diamond wasingekuwa tatizo.
Ata ugomvi wa kifamilia kati ya Esma, mama Diamond na Zari ishu sio Zari anajisikia ishu ni Diamond kashindwa kubalansi upendo, upendo umeelemea kwa Zari na Tiffa.. Mama na dada wanaona ule umiliki wa imaya unapungua siunajua tena mambo yetu waswahili kukaba ata kama mtu kashaanza maisha ya familia . Kwa hiyo jamani kelele zooote tatizo ni Chibu.
pointKm tupo kwny wakati mzuri mbona kila cku tunawaona wasanii wawili mond n vanessa kwa mbali kwny tunzo
kama tungelikuwa hatujaathiliwa na u team na bifu za kishamba tuka baki kwenye ukweli nahic haya yote yasinge kuwepo kuna maswal mtu analeta unaz kisa flan si mpend mfano utasikia diamond na alikiba yanga na simba sahiv utaskia clouds na efm waelewa toeni ushabiki husio leta tijaWatu wengi wanashindwa kumuelewa Zari anaposema tatizo ni Chibu yani Diamond.
Ali Kiba akitoa wimbo mashabiki wake wanakimbilia kwenye page za Diamond au watu wa karibu yake kulazimisha wausapoti uwezi kuwaona kwa wasio mhusu.
Diamond akipata dili ya tangazo wanaibuka watetezi feki wa haki za wanawake na kulia kwa uchungu kwa nini apewe tangazo ilihali anadhalilisha wanawake! Ukiuliza kamdhalilisha nani? Watakwambia Wema. Kivipi? Hakuna majibu ya msingi.
Tuzo zikitangazwa duniani kote lisipokuwepo jina la Diamond zinapita kimya kimya.. Likiwepo jina lake inaanzishwa kampeni kumpigia kura mnaijeria yoyote ili kumpa upinzani Chibu.
Diamond akisaidia wasanii wachanga kwao sio habari nzuri. Diamond akijenga msikiti kwao sio habari nzuri. Diamond akisaidia mashuleni kwao sio habari nzuri.. Diamond akifanya wimbo na mnaijeria na akitolea video south Africa.. Utasikia sioni kwa nini wasanii wanakimbilia kufanya video nje, mara muziki wetu unakuwa wa kinaijeria.. Kesho nao unasikia wamepanda ndege kufanyia video South Africa au wanafurahi wamepata collabo na mnaijeria.. Kwa Diamond muziki unakufa, wao wakivuka boda muziki unakuwa.
Lazima tukubali Diamond kwa sasa ndio daraja letu la kuivusha bongo fleva.. Wapo wasanii wamefanya makubwa kuufikisha huu muziki hapa kina Prof J, AY, Sugu nk lakini kiukweli Diamond amekuja kufanya mapinduzi makubwa mno. Kuna watu walifanya harakati nyingi kuubadili muziki umlipe zaidi msanii wengine waliishia kutukana matusi na ubabe ila Diamond katumia njia za kisayansi kuibadili game yetu na kiukweli game kaibadili mno ata km atupendi kukubali hili. Vitu wanavyofanya na njia wanazopita sasa yeye ametoka huko miaka 4 iliyopita.
Wakati Kiba anafurahi kusainiwa label ya kimataifa. Diamond anapambana kuipeleka label yake kuwa ya kimataifa, baada ya miaka mitatu wengi ndio mtaelewa tofauti ya Chibu na wengine.
Mtamchukia Tiffa, Zari, Babu Tale, Sallam, Fella, Kifesi lakini awa ni kafara tu ishu hapa ni Diamond. Awa wangekuwa mtaani huko awausiki na mafanikio ya Diamond wasingekuwa tatizo.
Ata ugomvi wa kifamilia kati ya Esma, mama Diamond na Zari ishu sio Zari anajisikia ishu ni Diamond kashindwa kubalansi upendo, upendo umeelemea kwa Zari na Tiffa.. Mama na dada wanaona ule umiliki wa imaya unapungua siunajua tena mambo yetu waswahili kukaba ata kama mtu kashaanza maisha ya familia . Kwa hiyo jamani kelele zooote tatizo ni Chibu.
usiubiri uongo mkuu ngoma za A.Y,Jide,Baraka na Ali Kiba zinapingwa vya kutosha hapa bondeniMimi muziki ninaousikia kwenye radio stations za South Africa ni wa Diamond pekee na siku hizi Vanessa. Aseme nani mwingine kapenya nje kama awa wawili.
......labda kipindi hicho hamkuwa na radio.sijasema namchukia diamond, ila uzembe wenu wa kumuona diamond mkubwa na kumtukuza ndo vitu vinaniboa mimi ninaeujua mziki huu kabla ya diamond, kama unaujua na kuufatilia mzk huu hutabishana na mimi, kuna watu wame cross border na kuitangaza tz zaid ya huyu jamaa labda kipind hcho hamkuwa na hata radio,
Nimekuelewa mama tiffah...[emoji23] [emoji23]Anaemponda diamond ujue kuna mawili 1.hafahamu muziki ni nini
2.chukiiiiiiiiiiiiiiii na hii wamo wengi hasa wanaume wa dar na wanawake wa dar
Muulize kwanza huko bondeni anapokaa yeye ni wapi.. Asije akakwambia majengo.usiubiri uongo mkuu ngoma za A.Y,Jide,Baraka na Ali Kiba zinapingwa vya kutosha hapa bondeni
Labda bondeni ya Kigogo au mchikichiniMuulize kwanza huko bondeni anapokaa yeye ni wapi.. Asije akakwambia majengo.