Zari anaposema tatizo ni Diamond, hii ndio maana yake

Wakati Kiba anafurahi kusainiwa label ya kimataifa. Diamond anapambana kuipeleka label yake kuwa ya kimataifa

Dah! Dongo baya kweli hili
 
UNATAKA VIGEZO AU UNATAKA KUIFAHAMU BONGO FLAVA
 
Anaemponda diamond ujue kuna mawili 1.hafahamu muziki ni nini
2.chukiiiiiiiiiiiiiiii na hii wamo wengi hasa wanaume wa dar na wanawake wa dar
 
Ngoma zake kila kona zinapigwa ulimwenguni mpaka club za marekani lazima hlf mnasema nini hapa tatizo mnatoka huko kwenu mbagala mnaishia k/koo jioni mnarudi makwenu mumeishilia hapo
 
Naamini wcb itawasajili wengi sana miaka inayokuja mtanyoooka tu! Jisimamie mwenyewe kwa juhudi zako sio usimamiwe halafu unatuambia wewe ni king khaaaa!!!!
 
Kwani kafanya kosa gani hadi wanachukia hivo? Ila jeuri ya maskini ni hiyo ya kulaumu Na kusema uongo pale mwingine akifanikiwa. Utasikia katumia madawa au Freemason
 

mambo ya wakaka na wadada wa Dar es Salaam haya!
 
kama tungelikuwa hatujaathiliwa na u team na bifu za kishamba tuka baki kwenye ukweli nahic haya yote yasinge kuwepo kuna maswal mtu analeta unaz kisa flan si mpend mfano utasikia diamond na alikiba yanga na simba sahiv utaskia clouds na efm waelewa toeni ushabiki husio leta tija
 
Mimi muziki ninaousikia kwenye radio stations za South Africa ni wa Diamond pekee na siku hizi Vanessa. Aseme nani mwingine kapenya nje kama awa wawili.
usiubiri uongo mkuu ngoma za A.Y,Jide,Baraka na Ali Kiba zinapingwa vya kutosha hapa bondeni
 
kiki gani ipo njema nataka nitoke wasafi niande kwa kiba nyoooooooooooooo
 
......labda kipindi hicho hamkuwa na radio.

Baba kwa dongo hilo lazima kijam awe mdogo tu...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…