Zari anunua gari audi mpya 2018

Zari anunua gari audi mpya 2018

Baada ya chuo cha marehemu mumewe, wanafunzi kulipa ada...

Kwa hiyo headmistress anatafuna mtaji...

Cc: mahondaw
 
Yani huyu dada watu wapo bize kumpiga majungu lkn yeye anakuwa bize kuzisaka tu jaman daaahh
 
Mtoa mada vyuma vinamsumbua sana
 
Jamiiforum mngeacha mambo ya Zari na Wema yabaki Facebook na Insta, huku yanatutoa mood bhana
 
Hyo sio Audi Q7 ya 2018 bwana tusidanganyane.

Hii ni Audi Q7 ya mwaka 2013.

Anyways Hongera zake bado ni gari ya thamani ambayo wengi wetu hatuwez afford.

Hii ni Audi Q7 ya 2013


13b96b795b4de870ce17873692ef6574.jpg


Na hii hapa ni Audi Q7 ya 2018

a60ae5419ee25a635036173f86348684.jpg
ww jamaa mkweli sana unaonekana yaani hauna roho ya kwann ndo maana umetoa hongera na umekubali wengi watuwezi kuimiliki ila Adio Q7 ya 2013 na 2018 kimuonekano 2013 inavutia.
 
Zari akienda kukata gogo mnamfatilia
Pia

Ova
 
Imekaa kimbea mbea pole ndio hivo tena hata urudi tumboni uzaliwe upya hutaishi maisha ya bosslady zarinah hassan tlale
 
Baada ya kununua mercedes mpya model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, leo tarehe 5jan 2018 zari kanunua gari mpya suv aina ya audi mara baada ya chuo cha mumewe kukusanya ada za wanafunzi wapya.
d1e366f3a802855e06f5aec231f4f7e8.jpg
0d9aa28d92bc856619f32e2bdab95da9.jpg


Masikini weeee, jamani kale kademu kasichojitambua katapatwa na pressure sasa hivi......Kwa kweli Zarina anawashikisha adabu mademu wasio na issue. Diamond, haki ya nani mke hapa umepata. Usipende kupiga miti mademu wasio na akili....karibu chamani kwa wanaume wapenda wanawake wenye maendeleo, akili, na wanaojitambua. Hongereni nyote Diamond na Zarina.
 
Biashara ya mumewe? Kwani ana waume wangapi ?
 
Back
Top Bottom