Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww jamaa mkweli sana unaonekana yaani hauna roho ya kwann ndo maana umetoa hongera na umekubali wengi watuwezi kuimiliki ila Adio Q7 ya 2013 na 2018 kimuonekano 2013 inavutia.Hyo sio Audi Q7 ya 2018 bwana tusidanganyane.
Hii ni Audi Q7 ya mwaka 2013.
Anyways Hongera zake bado ni gari ya thamani ambayo wengi wetu hatuwez afford.
Hii ni Audi Q7 ya 2013
![]()
Na hii hapa ni Audi Q7 ya 2018
![]()
financial freedomAnapenda
1. Dudu
2.Magari
Sio mbaya life is too short enjoy
Baada ya kununua mercedes mpya model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, leo tarehe 5jan 2018 zari kanunua gari mpya suv aina ya audi mara baada ya chuo cha mumewe kukusanya ada za wanafunzi wapya.![]()
![]()
Bado anasubiri mambo yakitiki kisutu apate mpunga afungue duka
Ha ha ha si haba Mtoto hapigwi jua kwenda clinicAlinunuliwa bajaji jipya lenye air condition.
Ha ha ha si haba Mtoto hapigwi jua kwenda clinic