Zari Arusha Dongo gizani

Umejua kunichekesha wallah,unakumbuka kuna kipindi tulicheka sana ulisema yaan majiran wamekuchoka kwa umbea ,kusutwa kwako kawaidaa ,huna kifua kabisaa halaf pm kwako nilikutumia kitu hujanicheki
Aaah, nakumbuka binamu.... PM siku hizi sipati notification kabisa sijui kwa nini, nikitoka kifungoni nitacheki binamu... Mwenzangu nimeona mpaka nisubir ban iishe nitaumwa jinsi ninavyopenda umbea
 
Nshachoka mie, umbea wangu mwenyewe niogope watu, Mbea toka lini akajua kuweka siri moyoni, hao ma mods watajiju kwani dhambi ndo nsharudi na ID mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!
 
Sasa binam we kutukanwa kdogo tu ushajibu huyoo uwe unawaacha sawaa yaan bado hujazoea tu
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Hivi Wema alishafanikiwa nini?
 
Nshachoka mie, umbea wangu mwenyewe niogope watu, Mbea toka lini akajua kuweka siri moyoni, hao ma mods watajiju kwani dhambi ndo nsharudi na ID mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!
 
Huyu hakuwahi kupendwa ila aliwahi tu kuzalishwa ndio maana Dai ni mwanaume aliyemchanganya balaa basi anajikuta Malkiaaaa mfyuuuu zake
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Ni inbox natafuta mke
 
Umejua kunichekesha wallah,unakumbuka kuna kipindi tulicheka sana ulisema yaan majiran wamekuchoka kwa umbea ,kusutwa kwako kawaidaa ,huna kifua kabisaa halaf pm kwako nilikutumia kitu hujanicheki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaah!
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
What is Nyakuz?
 
Wanachepuka akina jay z sembuse domo
Hiv why mnamuita kijana Wa watu domo kwan huo mdomo kajiwekea mwenyewe halafu unakuta huna hata mtt umekazana domo domooo mwenyewe labda una pua imesambaa mpaka mashavuni..ww nan wa kukosoa kaz ya Mungu nenda umuwekee mdomo mdomo basi.. Mtu hujazaa kelele mingiiiii siku ukizaa halafu watu wamuabuse mtt wako na mapungufu aliyonayo mwilini ndo utajisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…