- Thread starter
- #41
Aaah, nakumbuka binamu.... PM siku hizi sipati notification kabisa sijui kwa nini, nikitoka kifungoni nitacheki binamu... Mwenzangu nimeona mpaka nisubir ban iishe nitaumwa jinsi ninavyopenda umbeaUmejua kunichekesha wallah,unakumbuka kuna kipindi tulicheka sana ulisema yaan majiran wamekuchoka kwa umbea ,kusutwa kwako kawaidaa ,huna kifua kabisaa halaf pm kwako nilikutumia kitu hujanicheki