Acha awaseme hao wanaopenda kumrafuta awe wao kea kutumia sim zao. Akiandika hivyo hamaanishibkuwa mumewe anachepuka bali anawapa makavu live, kwa sababu mumewe atakuwa anamueleza mambo. Safi sana
Ni maisha yake na nyie wadaku mpange yenu.
Lakini wako haandikwi katika mitandao mkuu. Haya majambo yasikie kwa jirani. Naamini yupo sahihi kujifarijiHivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.
Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Kha! Warumi!! Kweli umetisha.. Mfungwa huruBinamu mimi warumi nshachoka mie kujificha
We kiboko aisee... Imebidi nikachekee nje maana niko msibaniAaah, nakumbuka binamu.... PM siku hizi sipati notification kabisa sijui kwa nini, nikitoka kifungoni nitacheki binamu... Mwenzangu nimeona mpaka nisubir ban iishe nitaumwa jinsi ninavyopenda umbea
Ushaleta siasa RutashoborwaHivi Wema alishafanikiwa nini?
Wivu tu huo wanaona mwenzao anafaidihilo dongo kwa madem wa kibongo ambao kila siku wa nasubiri waone anapigwa chini!
Binamu ulipotelea wapi, mic youKwa sababu na yeye hunyakuliwaga.
Endless fame kwani bado ipo? Update file lako la umbea binamu, bado uko nyumaWewe uliwahi kufanikiwa nini zaidi ya kushinda JF tu?
Jobless kama wewe kwa hakika Wema ana uwezo wa kukuajili na ukawa receptionist wake pale Endless Fame.
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.
Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Tena kimbia kabisa hahahaaaaaNgoja nikarudie kusoma ile comment yako kwenye uzi wa Wiser 1.
Tena kimbia kabisa hahahaaaaa
Utakayoyakuta hayana tofauti na haya niliyoyasema hapa...daima najiamini [emoji4] [emoji123]
Moyo kuuma hiyo ni kawaida,otherwise humpendi mwenzi wako.Lakini moyo ulikua unakuuma!!
Moyo kuuma hiyo ni kawaida,otherwise humpendi mwenzi wako.
Ila sasa,kuna tofauti kati ya kuumia na kudeal nae. Kitendo cha kutoka hadharani na kusema kama Zari ni udhaifu mkubwa sana ambao mimi sina.
Hakuna mwanaume asiyepitia vishawishi bwana.Ndio, ila kwa mtu kama Diamond anapitia vishawishi vingi sana. Kuvikwepa vyote ni ngumu.
Obviously kwa ss wanawake tunaoelewa psychologist ya mwanaume tunajua hatuko pekeetu Kwenye mahusiano na ndo tunaodumu na wanaume zetu subiri Yule anaejiaminisha yupo pekeake siku akija kugundua kunamsululu na ndoa chali wanakwambia bora uamini mungu yupo ukaenda ukamkosa kuliko uamini ayupo ukaenda ukamkutahow do you feel kuadmit mbele za watu kuwa your man hatoshekagi mpaka ananyakuliwaga?
au
au you cant handle him well,kwa hiyo nyaku time is available ?