Zari Arusha Dongo gizani

Zari Arusha Dongo gizani

Mmh huyu dada anatumia nguvu nyingi sana kudhihirisha uma kuwa anapendwa ki mantik ukiona mtu anajihami sana jua kuwa tatizo
 
Acha awaseme hao wanaopenda kumrafuta awe wao kea kutumia sim zao. Akiandika hivyo hamaanishibkuwa mumewe anachepuka bali anawapa makavu live, kwa sababu mumewe atakuwa anamueleza mambo. Safi sana

Ni maisha yake na nyie wadaku mpange yenu.

Sijui lini alipata hiyo hati ya ndoa mpaka awe mumewe najua ni mzazi mwezie tena wakusaidiwa
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Lakini wako haandikwi katika mitandao mkuu. Haya majambo yasikie kwa jirani. Naamini yupo sahihi kujifariji
 
Aaah, nakumbuka binamu.... PM siku hizi sipati notification kabisa sijui kwa nini, nikitoka kifungoni nitacheki binamu... Mwenzangu nimeona mpaka nisubir ban iishe nitaumwa jinsi ninavyopenda umbea
We kiboko aisee... Imebidi nikachekee nje maana niko msibani
 
Wewe uliwahi kufanikiwa nini zaidi ya kushinda JF tu?

Jobless kama wewe kwa hakika Wema ana uwezo wa kukuajili na ukawa receptionist wake pale Endless Fame.
Endless fame kwani bado ipo? Update file lako la umbea binamu, bado uko nyuma
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.

Ngoja nikarudie kusoma ile comment yako kwenye uzi wa Wiser 1.
 
Moyo kuuma hiyo ni kawaida,otherwise humpendi mwenzi wako.

Ila sasa,kuna tofauti kati ya kuumia na kudeal nae. Kitendo cha kutoka hadharani na kusema kama Zari ni udhaifu mkubwa sana ambao mimi sina.

Ndio, ila kwa mtu kama Diamond anapitia vishawishi vingi sana. Kuvikwepa vyote ni ngumu.
 
how do you feel kuadmit mbele za watu kuwa your man hatoshekagi mpaka ananyakuliwaga?

au

au you cant handle him well,kwa hiyo nyaku time is available ?
Obviously kwa ss wanawake tunaoelewa psychologist ya mwanaume tunajua hatuko pekeetu Kwenye mahusiano na ndo tunaodumu na wanaume zetu subiri Yule anaejiaminisha yupo pekeake siku akija kugundua kunamsululu na ndoa chali wanakwambia bora uamini mungu yupo ukaenda ukamkosa kuliko uamini ayupo ukaenda ukamkuta
 
Back
Top Bottom