Zari atajuta kuzaa na Diamond, Diamond hajatulia bado anapepea

Umeona eeh?? Zari kiboko yule
 
Mleta uzi ni KE au ME?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Nyie ndo mnaemkosesha amani mama kijacho wa watu huko insta
 
Attachments

  • 1432240234008.jpg
    16.9 KB · Views: 576
Hili nalisema kwa kuangalia jinsi diamond anavyopeperuka NA vidosho kila siku,Nina imani ZARI atalia muda si mrefu,hakutumia busara kukubali kumzalia diamond mapema kiasi hicho,domo hana utulivu wa kutosha kufikia hatua ya Kuwa mme NA baba wa mtoto

ndo maana unaitwa kinembe
 
kuna mijitu ina wivuuuu?? hata kama mimba ya babako wewe inakuhusu nini??
 
Hili nalisema kwa kuangalia jinsi diamond anavyopeperuka NA vidosho kila siku,Nina imani ZARI atalia muda si mrefu,hakutumia busara kukubali kumzalia diamond mapema kiasi hicho,domo hana utulivu wa kutosha kufikia hatua ya Kuwa mme NA baba wa mtoto

Ya mtu muachie mtu
 
Acha wafu wawazike wafu wenzao....( oooppps!!!!sorry imejipost.....)
 
Hili nalisema kwa kuangalia jinsi diamond anavyopeperuka NA vidosho kila siku,Nina imani ZARI atalia muda si mrefu,hakutumia busara kukubali kumzalia diamond mapema kiasi hicho,domo hana utulivu wa kutosha kufikia hatua ya Kuwa mme NA baba wa mtoto

Basi za nae wewe.
 
wee jamaa nambie ntakufa lini mimi?
 
Maisha ni ya Diamond mwenyewe na Zari wake,kwanini unataka wakuogope wewe kwa manenoyako haya ya kijinga?
 
Huyu alipoleta huu miaka miwili iliyoisha aliona kila rangi tusi sasa wakuu mko wapi wengine mje mmuombe msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…