Zari atajuta kuzaa na Diamond, Diamond hajatulia bado anapepea

Zari atajuta kuzaa na Diamond, Diamond hajatulia bado anapepea

ha ha ha mi najiuliza hivi Nuhu mziwanda ilikuaje mpk akamuacha shilole afanye huu ujinga maana walienda wote huko belgium!!

Kula kulala hawezi kuwa na kauli wala maamuzi ndani ya nyumba, kwanza hiyo safari ya kudandia kwake ni mafanikio.
 
Halafu utakuta huyu ni mwanaume na akili zake.
Unawaza yasio kuhusu. Mmu ningekuwa raisi ningetembea na viboko. Kuna vijana wajinga sana mtaani aise


Yaani umenena, mgeni wetu jf kaingia jana na ID hii.
 
Kula kulala hawezi kuwa na kauli wala maamuzi ndani ya nyumba, kwanza hiyo safari ya kudandia kwake ni mafanikio.

Teh Teh Nuhu hawezi kukemea maana kufanya hivyo ndio kuna mpa mkate kila leo..kijana ana moyo wa chuma..
 
Huna lolote chinembe!we umeshaliza wangapi mpaka leo na huwasemi?muache kaka wa watu.
 
Tatizo mnamfananisha Zari na hawa madada team ushuzi, sioni star wa kibongo wa kufanana na Zari kuanzia family kipato hadi kujielewa.

Zari ana watoto watatu anajua anachokifanya, ni mtu mzima anaejielewa ndio maana hata Diamond skendo zimepungua na kina team mama ubaya.

Tuendelee kuwajadili akina Shishi na Mziwanda Zari ni another level, sio hao wanaotumika na shigongo kuuza magazeti bila kujielewa.

Zari kuhojiwa tu Mawingu nchi ilisimama.........!
 
Martin Kadinda wewe mtoto wa kiume, uzi kama huu haufai kuanzishwa na wewe. Mpe salamu Wema.
 
Kwa mfano sasa we ulitakaje ndo ivo sasa ye kashaamua kumzalia ikikuuma kunywa tindikali ufe ili usione maisha yao....
"Unajipunguzia siku za kuishi kuchukia watu na maisha yao badala uwaze we utakuja kua na nani na utamzalia lini au kama tayari mtafanikiwaje waza wenzio"

Tindikali tena
 
Back
Top Bottom