Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi DNA inaonesha jinsia ya mtoto mana nilimsikia dai bbc eti wamepima dna mtoto ni wa kike
Wewe ni Me ni Ke.?
Picha ngap zinarushwa mbona hamaind? Kuna kitu, halafu huy zari bado anampenda mumewe nimemsikia juzi kwa sporah anavyomsifia mhh, ndomi ajiandae kuachwa mjane
Wewe umejuaje ame mind kisa hiyo.picha? Kwanza hiyo picha ni ya leo? Hivi hawa Global kuna mtu walisha mpigia akapatikana?
Hivi mnajuaje mimba ya katunzi?
Mi dume nina Mshondori na nyanya chungu mbili. Unataka?
Mkuu ukiachana na siasa kwenye mambo mengine huwa napenda kukusoma sana.Wewe umejuaje ame mind kisa hiyo.picha? Kwanza hiyo picha ni ya leo? Hivi hawa Global kuna mtu walisha mpigia akapatikana?
Hivi mnajuaje mimba ya katunzi?
Wewe umejuaje ame mind kisa hiyo.picha? Kwanza hiyo picha ni ya leo? Hivi hawa Global kuna mtu walisha mpigia akapatikana?
Hivi mnajuaje mimba ya katunzi?
Hivi DNA inaonesha jinsia ya mtoto mana nilimsikia dai bbc eti wamepima dna mtoto ni wa kike
Du hii huyu domo katoa ya mwaka DNA. Ya mtoto wa kike du basi hata dictionary hachungulii akisikia watu wanasema DNA asubiri azaliwe sio kupita maduka ya vigali vya watoto tu kupiga picha
Labda alipitiwa au alijua DNA na ultra sound ni kipimo kimoja
Du hii huyu domo katoa ya mwaka DNA. Ya mtoto wa kike du basi hata dictionary hachungulii akisikia watu wanasema DNA asubiri azaliwe sio kupita maduka ya vigali vya watoto tu kupiga picha
DNA ina uwezo wakutambua jinsi ya mtoto......google utaona..
Nyie akina mnally mtaishia kusema tu mmepigia zari mara hapatikani mara simu yake iliita bila kupokelewa kama kawaida yenu, zari hana muda wa kuongea na taka taka kama nyinyi, nyie endeleen kumpigia huyo huyo mama ubaya zari sio type yenu
Hivi hi technology Imeanza kutuma bongo kweli mana ni mpya wengi wanaendaga Nairobi.
Mi mwenyewe nilisikia kwa mara ya kwanza Diamond akiongea na Salim kikeke na ingekuwa uongo nafikiri Salim asinge acha lipite ange mrekebisha ...nilijaribu ku google nikakuta inawezekana!
Sijajua kama bongo hipo tayari...
Picha ngap zinarushwa mbona hamaind? Kuna kitu, halafu huy zari bado anampenda mumewe nimemsikia juzi kwa sporah anavyomsifia mhh, ndomi ajiandae kuachwa mjane