Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Huyu Zari ana nia gani na diamond. .nijuavyo mimi sio rahisi mwanamke amuache bwana tajiri akajiweke kwa ungaunga mwana. ..huyu mwanamke ana damu ya kinyarwanda, nenda sehemu nyingi za madada poa wamejazana na wanazaa sana na watz...isiwe ni mpango mahususi wa ndugu zetu hawa kupenyeza damu yao kwetu ukichukulia domo anainfluence kwenye jamii yetu....Tuwe makini na hawa wanawake(jana nilisikia hata baraka da price mama yake katoka Rwanda. ..EATV )