Zari ateswa na picha ya Katunzi

Hivi DNA inaonesha jinsia ya mtoto mana nilimsikia dai bbc eti wamepima dna mtoto ni wa kike

aaaaah! Wapi, afu process yake c km vile unavalisha mpira kwenye ume. Ni hatua ndefu inayojumuisha watu wakubwa kisheria,pesa nying na muda. C kucheck jinsia. Ni uhusiano damu wa mtu na mtu.
 
Mi sijamuelewa vizuri Domo anapodai ni mambo ya mitandao

anamaanisha ni picha feki au anamaanisha ni uongo zari hakuwa na mahusiano na katunzi?

cc warumi ufafanuzi plz
 
Last edited by a moderator:
Picha ngap zinarushwa mbona hamaind? Kuna kitu, halafu huy zari bado anampenda mumewe nimemsikia juzi kwa sporah anavyomsifia mhh, ndomi ajiandae kuachwa mjane

Wewe umejuaje ame mind kisa hiyo.picha? Kwanza hiyo picha ni ya leo? Hivi hawa Global kuna mtu walisha mpigia akapatikana?
Hivi mnajuaje mimba ya katunzi?
 
Wewe umejuaje ame mind kisa hiyo.picha? Kwanza hiyo picha ni ya leo? Hivi hawa Global kuna mtu walisha mpigia akapatikana?
Hivi mnajuaje mimba ya katunzi?
Mkuu ukiachana na siasa kwenye mambo mengine huwa napenda kukusoma sana.
 
Wewe umejuaje ame mind kisa hiyo.picha? Kwanza hiyo picha ni ya leo? Hivi hawa Global kuna mtu walisha mpigia akapatikana?
Hivi mnajuaje mimba ya katunzi?

GLobal wanaishiaga kusema simu iliita bila kupokelewa au haikupatikana kumbe ata namba hawana

KWani mi nimesema au shigongo?
 
Hivi DNA inaonesha jinsia ya mtoto mana nilimsikia dai bbc eti wamepima dna mtoto ni wa kike

Du hii huyu domo katoa ya mwaka DNA. Ya mtoto wa kike du basi hata dictionary hachungulii akisikia watu wanasema DNA asubiri azaliwe sio kupita maduka ya vigali vya watoto tu kupiga picha
 
Du hii huyu domo katoa ya mwaka DNA. Ya mtoto wa kike du basi hata dictionary hachungulii akisikia watu wanasema DNA asubiri azaliwe sio kupita maduka ya vigali vya watoto tu kupiga picha

Labda alipitiwa au alijua DNA na ultra sound ni kipimo kimoja
 
Du hii huyu domo katoa ya mwaka DNA. Ya mtoto wa kike du basi hata dictionary hachungulii akisikia watu wanasema DNA asubiri azaliwe sio kupita maduka ya vigali vya watoto tu kupiga picha

Boy or Girl? Fetal DNA Tests Often
Spot On
WebMD Health News by Kathleen
Doheny
Reviewed by Laura J. Martin, MD
Aug. 9, 2011 -- Using fetal DNA from
a mother's blood to determine the
unborn baby's sex is highly effective,
according to a new review of the
research.
"After seven weeks of gestation, the
accuracy of fetal sex detection is
very good using maternal blood,"
says researcher Diana W. Bianchi,
MD, a reproductive geneticist and
executive director of the Mother-
Infant Research Institute at Tufts
Medical Center in Boston.
At seven weeks, she found 95%
accuracy. "After 20 weeks, it was
nearly perfect."
The research involves tests done by
hospital or research groups
worldwide. "It shouldn't be confused
with what the direct-to-consumer
companies are advertising [to help
parents find out the gender of their
unborn infants]," she says.
 
Nyie akina mnally mtaishia kusema tu mmepigia zari mara hapatikani mara simu yake iliita bila kupokelewa kama kawaida yenu, zari hana muda wa kuongea na taka taka kama nyinyi, nyie endeleen kumpigia huyo huyo mama ubaya zari sio type yenu

Kweli kabisaaa
 
Hivi hi technology Imeanza kutuma bongo kweli mana ni mpya wengi wanaendaga Nairobi.

Mi mwenyewe nilisikia kwa mara ya kwanza Diamond akiongea na Salim kikeke na ingekuwa uongo nafikiri Salim asinge acha lipite ange mrekebisha ...nilijaribu ku google nikakuta inawezekana!
Sijajua kama bongo hipo tayari...
 
Bongo sidhani kama imefika. Nairobi ndo wanakofanyaga ya mtoto akizaliwa tayari. Nadhani ya sasa ni advanced one kwa level za huku bongo.
 
Picha ngap zinarushwa mbona hamaind? Kuna kitu, halafu huy zari bado anampenda mumewe nimemsikia juzi kwa sporah anavyomsifia mhh, ndomi ajiandae kuachwa mjane

Diamond alitaka mtoto, kachoshwa na mpenzi tasa.
 
Nshawai soma mahali kuwa unaweza jua baba wa mtoto hata kabla hajazaliwa kwa DNA...nikiona watu wanatoa povu kuwa "DNA mtoto hajazaliwa" nashindwa kushangaa....(japo I also doubt kama Dai kweli amefanya hiyo DNA)
 
Duh hawa hawaachagi kutunga.

Nimeamua now nami ni komenti humu.

Hizo picha za miezi yoteeeee na walizo chakachua leo ndio walie?

Z na D mpo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…