Zari ateswa na picha ya Katunzi

Huyu Zari ana nia gani na diamond. .nijuavyo mimi sio rahisi mwanamke amuache bwana tajiri akajiweke kwa ungaunga mwana. ..huyu mwanamke ana damu ya kinyarwanda, nenda sehemu nyingi za madada poa wamejazana na wanazaa sana na watz...isiwe ni mpango mahususi wa ndugu zetu hawa kupenyeza damu yao kwetu ukichukulia domo anainfluence kwenye jamii yetu....Tuwe makini na hawa wanawake(jana nilisikia hata baraka da price mama yake katoka Rwanda. ..EATV )
 

Waliacha miaka 2 au 3 na mume wake. Na ujue ndoa sio pesa. Kama kuna mateso kwanini mwanamke akae kisa sababu wameanza wakiwa maskini na kutengeneza pesa pamoja so akae nae tu.

Kwani ndio mke wa mtu alieachana na mume wake kuolewa au kuwa na mpenzi mwingine duniani?

Na wao walifanya ya utamaduni hawakuingia kanisani au msikitini.

Acheni kutunga mambo kufurahisha mioyo yenu, hamtaki kukubali watu wanaweza pendana duniani kisa ni D.

Ndimu inakuhusu
 

Waambie hao.
 
Sasahivi mapaparazi washaacha kuhangaika na hilo li mama lenye mpapa mkubwa east africa nzima. Kila nchi kapigwa miti. Afadhali ya wema yeye anagongwa tuu uwanja wa nyumbani hilo li papa na nguru linapigwa Home and Away

hahahaa u make my day umenifanya nicheke kwa sauti ofisini"eti lipapa na nguru".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…