Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Watz heading inatosha story tutakupa....
Utaona Da mange atakavoshusha gazeti huko
Please hid my Id
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watz heading inatosha story tutakupa....
Utaona Da mange atakavoshusha gazeti huko
Na yeye pia si alisaliti mumewe, au mmesahau jamani? Hivyo its the time to pay back what she didI smelled this before if real it is! Kwa uroho na ujana wa Diamond ni vigumu kuishi na bibi mmoja bila kucheat. Zari pia ana moyo wa nyama, anaumia!!!
Ngoja akahangaike na vipanga wenzie huko!I do appreciate wanawake woteee dunuani walio "Independent" kichwan,kiakili nakimwili kama alivyo zari !!.
Hawa ndio wanawake wachache ambao kwao HESHIMA ndo muhimu , ndio wanawake ambao Hawaendeshwi 'Mashine'.
Unakuta demu ,kwanza mume wake malayaaaa ,+anamtesa LAKINI anakuambia hata uniue sitoki hahahahah .nahii nisababu ya kua Tegemezi na kua muoga Wa maisha.
Hongera sana Zari
Hongera sana Zamaradi
Kumbe hawa wanawake wanaoanza majina yao na Z ,wanaakili mbaya ,ni independent sana ...kasoro akina Zubeda Wa Prof J.
Sio kinyaturu kile mkuu, kidhungu [emoji23]sijaambua kitu na kinyantuzu changu naona diamond tu
Umeelewa alama za nyakati mkuuItakuwa kuna nyimbo mpya wanataka kutoa.
Si unajua hawauzi Bila kiki
Kweli eeh?Zari alikua na mpango huo siku nyingi alisubiri right time tu ya kuhit.
Nami naikumbuka nilimsikia na kumuona live naisubili hiyoJamaa alisemaga atatembea kwa magoti mpaka south
Nimependa hashtag ,, sasa ukitaka kuona kilio zaid ya cha ruge mara paap zari anafunga ndoa [emoji23]Weuweeeeeeeee safi sana!!!
[HASHTAG]#Zamaradi[/HASHTAG] [HASHTAG]#Zarina[/HASHTAG]
Sio watu wa mchezo mchezo
= Smelt...not smelled
Yan wabongo tangu muwe na Rais asiyejua Kiingereza basi sasa hivi mnaona fahari tu kuandika na kuongea broken!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wema sepetu like your status
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji24] [emoji24] [emoji24] chozi moja litajaza kikombe cha chaiNimependa hashtag ,, sasa ukitaka kuona kilio zaid ya cha ruge mara paap zari anafunga ndoa [emoji23]
Hahhhahaaaaaa ....na domo lile litadondoaha udenda balaa ila tu tuone zar atatoka na nani hata awe nani diamond lazima ayumbe tu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji24] [emoji24] [emoji24] chozi moja litajaza kikombe cha chai
ndoa ipiSi vizuri kuvunja ndoa
Yaani wewe umeelewa vyema kabisa, mimi pia kama nikweli haya yametokea simsikitikii zari bali naswma kwamba, kama alisahau alichofanya kwa mumewe basi ndio amekumbushwa ya kwamba ni hivyo kama diamond alivyo mfanyia,Yaani zari alidhani dhambi ya kumuacha mume na kuchepuka na dogodogo ingemuacha salama? Machozi ya Ivan hayo bora angetulia na familia yake