Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

I smelled this before if real it is! Kwa uroho na ujana wa Diamond ni vigumu kuishi na bibi mmoja bila kucheat. Zari pia ana moyo wa nyama, anaumia!!!
Na yeye pia si alisaliti mumewe, au mmesahau jamani? Hivyo its the time to pay back what she did
 
I do appreciate wanawake woteee dunuani walio "Independent" kichwan,kiakili nakimwili kama alivyo zari !!.

Hawa ndio wanawake wachache ambao kwao HESHIMA ndo muhimu , ndio wanawake ambao Hawaendeshwi 'Mashine'.

Unakuta demu ,kwanza mume wake malayaaaa ,+anamtesa LAKINI anakuambia hata uniue sitoki hahahahah .nahii nisababu ya kua Tegemezi na kua muoga Wa maisha.

Hongera sana Zari
Hongera sana Zamaradi

Kumbe hawa wanawake wanaoanza majina yao na Z ,wanaakili mbaya ,ni independent sana ...kasoro akina Zubeda Wa Prof J.
Ngoja akahangaike na vipanga wenzie huko!
 
Weuweeeeeeeee safi sana!!!
[HASHTAG]#Zamaradi[/HASHTAG] [HASHTAG]#Zarina[/HASHTAG]
Sio watu wa mchezo mchezo
Nimependa hashtag ,, sasa ukitaka kuona kilio zaid ya cha ruge mara paap zari anafunga ndoa [emoji23]
 
Nimependa hashtag ,, sasa ukitaka kuona kilio zaid ya cha ruge mara paap zari anafunga ndoa [emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji24] [emoji24] [emoji24] chozi moja litajaza kikombe cha chai
 
Jekama ni kick? Maana hawajamaa kwa kick za nitoke vipi hawajambo
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji24] [emoji24] [emoji24] chozi moja litajaza kikombe cha chai
Hahhhahaaaaaa ....na domo lile litadondoaha udenda balaa ila tu tuone zar atatoka na nani hata awe nani diamond lazima ayumbe tu
 
Yaani zari alidhani dhambi ya kumuacha mume na kuchepuka na dogodogo ingemuacha salama? Machozi ya Ivan hayo bora angetulia na familia yake
Yaani wewe umeelewa vyema kabisa, mimi pia kama nikweli haya yametokea simsikitikii zari bali naswma kwamba, kama alisahau alichofanya kwa mumewe basi ndio amekumbushwa ya kwamba ni hivyo kama diamond alivyo mfanyia,

goes around, comes around,
 
Back
Top Bottom