Wabongo bhana baada ya kukaa tukajadili namna ya kummaliza adui wa taifa letu ambaye ni CCM nyie mmekaa kujadili umbeya tu hao Zari na Mond wakiachana nyie mnaongezewa nini au mnapungukiwa nini acheni Ukuda
Ndo kasema ivo?au we ni hamisa?Hahaaa is it because amekubali kuhudumia mtoto wa Hamisaa?!!na kupatana nae?
Kama nawaona team zari mondi watakavyokufa njaaa
Poleni
Wanaume wengi afrika walikuwa wakiyangoja Diamond atoke tuuView attachment 695821 Uzuri na tabia yake atafika mbali sana huyu mama!
Beauty is power, alafu she is smart, lethal combination of success and beyond!
YAANI NI MZURI SANA HUYU MWANAMKE TUACHE UTANI JAMANI!
May the Almighty Creators grant you peace!
Na hit and run is the cause of singlemotherhoodNdo maana mm kuja kuoa single mother sahau!
Single mother kudum kwenye ndoa ni kaz sana! Wanaudhaifu mwingi sana
Single mothers ni Ku hit and run
Watu hawamuelewi. Amepitia mengi kwenye mapenzi. Alipomuacha Ivan, alimpata farouk. Mwanaume asiye na hela laikini farouk akamcheza. Ivan alikuwa akimpiga Zari mpaka kwenye maclub za Kampala mbele ya umatiAmong of all Diamond's women, Zari was all that and a bag of chips. I like her.
Lol,yaani hata Mimi nimemhurumia Zari.Duh!Nimeumia eti..
Ivan alimtesa sana Zari kabla atoroke. Tafuta story yote uieleweMbona diamond alimkubali na zari na watoto wake, mbona sasa zari nikama haoendi watoto wa diamond wa mwanamke mwingine?
Duh..... Hilo jina la zoe umenikumbusha mbali sana kuna dada alinipenda sana aliitwa jina hiloNikipata kabinti nitakaita Zoe 😀
Aaahh Mario nasi napekisa yo Kolingaka basi bazali na mbongo Yoka ndenge azali kokaba yo na mitema ya basi mpe mibali..oh mario ! Mosusu mosusu mario !!OH Zari i sympathize with you. Just call my name and I will be there. No kidding.
what does it mean?Bai bai Chibu
Mwanaume wewe ulizidi
Timu Zari leo kushangilia sana sanaaaaa
Na bado atakuwa anafatiliwa.. halina ubishi hili. Eeeeh wanaume muheshimu mahusiano na waliowatoa kusipo..
View attachment 695807
Hide my ID leo tunajua lazima utunge aonekane kaachwa.. eeeh umesahau tunakujua kwamba unamuonea wivu tangu zamani kwa maisha yake na yake yote.. ha ha haaaaaaaaa
Wakakodishe nyumba ya kulala si ulisema hajanunua nyumba eeeeh leo eti yake..
Zari oyeeeeee
Tunajua wabongo mlio na wivu nae mtazidi kumfatilia maisha yake kama kawa.. imeyoka hiyo Mondi katemwa pwaaaaaaaa
DNA iko wapi? Usikute marehemu alipiga sign kote huko . Dogo wa tandale km aliacha makabrasha na mikataba pale kaumia. Km huyo mwanamke kaweza cheza na akili za kina King lawrence na kubeba kila kitu cha Ivan, tungoje next move.Mi nawasikitia tu wale watoto..maana kulelewa baba na mama wakiwa wametengana ni mtihani mkubwa.
Mama, eti hako kapicha ni wewe? [emoji114] [emoji173] [emoji173] [emoji173]Naona kama kik vileee
Utasikia Da Mange anasema kuwa alikuwa na taarifa hii toka mwaka jana sema hakutaka kusema.Da mange si wa mchezo.....