zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,205
- 1,880
Wabongo bhana baada ya kukaa tukajadili namna ya kummaliza adui wa taifa letu ambaye ni CCM nyie mmekaa kujadili umbeya tu hao Zari na Mond wakiachana nyie mnaongezewa nini au mnapungukiwa nini acheni Ukuda
CCM tangu lini akawa adui wa taifa hili? Hivi ninyi vijana wa siku hizi mbona hamnazo.!