Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Bai bai Chibu
Mwanaume wewe ulizidi

Timu Zari leo kushangilia sana sanaaaaa
Na bado atakuwa anafatiliwa.. halina ubishi hili. Eeeeh wanaume muheshimu mahusiano na waliowatoa kusipo..

View attachment 695807
Kushangiliaa sana![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Waulize team wema kilichowakuta

Kigoma hatoki boyyyy!!!
 
Eeeeeeeh

Leo watu wengine tuliona inakuja.. tumeshinda tunasubiri matamshi shaaa from ubizi leo wa Zari kwenda kazini kama kawa.. imekuwa sasa

Zari oyeeeeee
Teh... una furaha hatari coco
 
Hakuna Binadamu mkamilifu, ila ni Ukweli kuwa Diamond kwa sasa anapitia kipindi Kigumu sana katika Maisha yake, kiasi asipopata Washauri wazuri ndo utakuwa Mwisho wa Kipaji na Lebo yake, ukizingatia amejitengenezea Maadui wengi pale anapopatia ridhiki ambao wote hao wanasubiri kwa Shauku kubwa mwisho wake!!!
 
Ila hawa watu hawaaminiki, kwanza matukio na kuongelewa kwenye mitandao ya kijamii ndio kunawafanya waendeshe maisha yao, sitashangaa hata hii ikawa ni muendelezo wa kuhakikisha wanabaki kwenye chati mitandaoni....hawa ni wasanii
 
Hata kama sio kwani atasema siku zote amuache Leo baada ya Jana wazazi kupatana mahakamani
Kwanini hakumuacha wakati alipo mcheat na hakumwambia mpaka alipo gundua?
Ni wakati wa Wema kuolewa sasa
 
Enough is enough. The Bosslady kaamua kubwaga manyanga. Kavumilia alivyoweza kaona isiwe tabu kaamua kuachana na Diamond. Naamuunga mkono na ninamsifu kwa uvumilivu...gooo goo Zari goooooo kisicho riziki hakiliki. Haya kazi ni kwa wale watafutaji nafasi iko wazi.
 
Back
Top Bottom