Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Teh nlikua naisubiri hii siku, diamond anajikuta diamond kweli ilmradi fujo..... Bora kaachwa awe free sasa cha ajabu utashangaa yupo free hadi K zinakua za manati akiwa na mtu anapata mafuriko ya K.
Nikuulize hivi ni nin kinasababishaga hio hali?,ukiwa na dem k za kumwaga ukishatemana na dem tuu k zinakuwa za kutafuta kwa manati,mm huwa nahisi unapokuwa kwenye mahusiano kuna kiharufu unakuwa nacho hivyo kuwavutia warembo,embu tueleze hivi huwa unafikiri ni nin hasa kinasababisha?...
 
Si nasikia ni ajuza? Mziki wa vijana ameushindwa
 
Nikuulize hivi ni nin kinasababishaga hio hali?,ukiwa na dem k za kumwaga ukishatemana na dem tuu k zinakuwa za kutafuta kwa manati,mm huwa nahisi unapokuwa kwenye mahusiano kuna kiharufu unakuwa nacho hivyo kuwavutia warembo,embu tueleze hivi huwa unafikiri ni nin hasa kinasababisha?...
Yani hata mie sijui kwakweli, ila ipo hivo ukiwa singo hupati mtu yani hata mtu wa kuchora humpati, ukishakua tu na mtu, watu wanakuja kama siafu.
 
Back
Top Bottom