Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Teh nlikua naisubiri hii siku, diamond anajikuta diamond kweli ilmradi fujo..... Bora kaachwa awe free sasa cha ajabu utashangaa yupo free hadi K zinakua za manati akiwa na mtu anapata mafuriko ya K.
ndiyo kawaida siku zote
 
This is where you loose your brain.
We ni mange fwata upepo, breakdown huyu dogo kaliwa hiyo kamari, aendelee na umaarufu wake mwanamke yule South ataweka kabrasha mezani la matumizi watoto wa2.
Hapo fikiria mawakili wenu wasomi uchwara wakamtetee mahakama za South,
Atakubali kuhudumia,na kuachia malighafi zote alizoacha South km zake.
Maana kuna ushahidi wa kuhudumia mtoto mwingine bongo.
Zari ameatack panapotakiwa, refer kwa Ivan.
Wewe ni mbumbumbu, Diamond ana mali ipi South Africa?

Hujielewi.
 
Na yeye pia si alisaliti mumewe, au mmesahau jamani? Hivyo its the time to pay back what she did
Wewe kajambe mbele huko. Alimsaliti mumewe lini? Nani alikwambia alimsaliti mumewe. Uko kwenye internet lakini huwezi kujiongeza utafute habari zenye uhakika.Kwa taarifa yako, Zari na mumewe walishaachana miaka miwili kabla akutane na Diamond. Ivan alikua ana date msichana anaitwa Sharon na Zari alimdate Farook. Ivan was a wife beater. Haya stop commenting rubbish.
 
Kama sio kiki akibembelezwa kidogo tu anarudi tegemeeni kati ya haya mawili.
 
Huu ni mwanzo wa mwisho wa Almasi (Diamond). Diamond anamuhitaji sana Zari katika kipindi hiki haswa wakati anapitia mapito ya vita nyikani na nguli wa fitna Ruge.
Kama ni kweli Zari amefikia uamuzi huo, Diamond atakuwa na muda mgumu sana siku za mbeleni. Na maadui zake wataitumia hii fursa vizuri.
 
Ni dada yake Idd Amini aliyetaka kuitawala Madale lakini baadhi ya WaTz walifanikiwa kuikomboa madale hivyo Jana usiku alitangaza kuachia ngazi [emoji14]
If you know you know
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mna maneno jamani
 
DAI hajui mdem wengi walikuwa wanamtamani kwa kuwa yupo na Zari,mwanamke mzuri mwenye pesa mwenye class ya juu nje ya hapo madem watamkimbia sasa....
Makes alotta sense buddah, ndivyo system ilivyo hata mtaani ukiwa na demu kisu mademu average wengi wanakushobokea mbaya unachapa tu.

Ila ukiwa huna demu u become single as https://jamii.app/JFUserGuide!!! Hupati demu ata wale wabovu man...utasota big time aisee!!!
 
Zari ahamie Kwa Kila azaepo watoto wawili tena
Zari kashapoteza 100% pale atajifanya analipa aombe Mungu ampate mjane walisongeshe unless akae mbali na mitandao au aitumie kufanya mambo ya maana watoto watano ni wengi mnoo haswaa kwa maisha anayotaka ayaishi yeyee!

Humu sisi washabiki maandazi tu!
Maumivu anayapata mwenyewe!
Mkiwa wawili ni wawili tu!
 
Nimejikuta naimba huu wimbo wa Alicios ft Juliana Kanyomozi. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]



[emoji445][emoji445][emoji445]Juliana we
Sijui nianzie wapi. [emoji442][emoji442][emoji442]
Lakini kuna jambo nataka kukueleza
Yule bwana mimi naye tuna hadithi
Naye hucheza ule mchezo wa pata potea,
(do you remember)
Mimi na wewe ni marafiki toka zamani
Siwezi kukudanganya[emoji449][emoji447][emoji441]



Mpita njia x2[emoji441][emoji441]
Asante yake mateke
Kwako hatakaa milele
Kesho atapata mwingine
akuage alivyo niaga [emoji441][emoji445][emoji445][emoji442][emoji447][emoji449]
 
Back
Top Bottom