Zari, Diamond biashara kwisha

Zari, Diamond biashara kwisha

well..mnachopaswa kujua ni kua kama ilikua project basi objective imekua attained.so ni juu yao kama i phaseout au iwe na phase two!
all in all huwez fananisha na project fake za magumegume ambayo yali endup na frustrations kama wakina team nanihii.
.
 
Kweli Diamond ana nyota yaani mtu kakaa chinibna kuyaandika yote hayo na kujaxia uongo akitamani kuwa pembeni yao Diamond na Zari.
 
Diamond kazi anayo, kumbe na Queen Darlin anakaa kwake? Hivi hawaolewagi hawa?

Tabu ipo wapi?

Wakato wanaishi chumba kimoja mbona hamkuwasema kuwanyanyua.

Kwa hiyo kwa sasa wasivyokuwepo nchini ulitaka nani akae pale kupaendeleza au ndio vumbi lijae warudi wakute pamechakaaa

Acheni familia yao iishi watakavyo, kwani vya wao weye vinakuumia nini. Au ndio mnadhani Diamond ana nyumba moja tu.

Wanaishi pamoja na mnaona jinsi standadi yao inavyoendelezwa inapita ya wamaojiita wa uzunguni.
 
Dmond bhn!!!et madem wakbongo nawaachia dancer wang mm level zang nje ya bongo
 
Thinking out aloud,
is the guy sophisicated enough for the internationl go go "boss lady?"
no malice intended
 
Mpwa warumi habari za siku nyingi! Hivi ule ushahidi kwamba mimba ya Zari ni ya Katunzi ulishauleta? Manake sijakuwepo jamvini muda sasa!!!! Halafu ona hapa mpwa:
" Taarifa nilizonazo ni kuwa , Diamond na Zari watakuwa wanaendelea na uhusiano wao wa kimapenzi lakini si ule wa kama awali . Ila wataendelea kuwa watu waliozaa mtoto na maisha ya Tiffah yataendelea kuwa kwa mama yake hadi hapo watakapoamua vinginevyo . Zari anaweza kuja Bongo na Diamond anaweza kwenda Sauz kwa Zari."
Kwahiyo mpwa hiyo source ilianza kwanza kuongea may be na Zari kisha Zari akasema "nitaendelea uhusiano na Diamond kama kawa kawaida lakini si kama ule wa zamani.....!" Baada ya kupata hiyo info, mtoa habari wetu akaenda pia kwa Diamond nae akasema "nitaendeleza uhusiano na Zari lakini haitakuwa kama ule wa zamani....!" Ndivyo unavyotaka kusema mpwa? Manake wakati unaweza kuwaona akina Asma na Queen Darleen wakikaa nyumbani kwa Diamond... na pia wakati ni very possible kuona Zari hajichanganyi na mawifi zake lakini suala la kujua kama wataendeleza uhusiano wao na watauendeleza vipi ni lazima uongee nao!!"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom