Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Diamond kazi anayo, kumbe na Queen Darlin anakaa kwake? Hivi hawaolewagi hawa?
Hilo gazeti ni la kizushi tu!queen darleen wala hakai kwa diamond!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond kazi anayo, kumbe na Queen Darlin anakaa kwake? Hivi hawaolewagi hawa?
tanzania wasanii wa kweli ni profesa j na sugu tu hao wengine njaa kama huyo diamond mwaka huu habari yake inafikia ukingoni
Hilo gazeti ni la kizushi tu!queen darleen wala hakai kwa diamond!
Kama wale YA UVUGUVUGU BENDI waliotembea mikoani wakimnanga mzee LAIGWAAAA jana walikuwa wanafanya show huku wakijichekesha wenyewe while people zimenuna kwenye BSS.Kweli Fiesta ya chama imewaponza.
Diamond kazi anayo, kumbe na Queen Darlin anakaa kwake? Hivi hawaolewagi hawa?
Hahahaha! Hii ina 100% ukweli ndani yake ujanja siyo kumpiga demu mimba ujanja ni walikuwa wanapiga hela kupitia mgongo wa diamond! Na hawa kina ivan wamefanikiwa kwa hilo! Zari anafanya umalaya kumbe kuna biashara nyingine ndiyo kitu wema sepetu alishindwa! Pole sana diamond mjini hapa!
Marhabaa.. Na huyo Zari ameshaona moto wa EL utamchoma kakimbia Tz na wala hatokaa harudi hapa kama Ukawa itaingia madarakani..
Kwa hiyo hawa akina Ivan wapo tayari demu wao agongwe na azalishwe kisa tu biashara?? Ukawa bhana teh teh teh
Asee kumbe hata huku kuna info za maana namna hii?sisi tumezoea Kule jukwaa letu pendwa ndio tunazipata za namna hii
Hivi hebu tuambieni huyu dogo kawafanya nini ?????maana siamini kama ni hii ya kuwazidi nyinyi kimuziki ndo muwe munabandika na kubandua mauzushi munatoa hili mukishindwa munaweka hili. Sasa kama wewe unaongopa hadi HUJUI HATA AINA YA GARI ANAYOIMILIKI AMBAYO NI X6 NA si x5 na anaimiliki hiyo gari kabla hata hajajuana na ZARI.Demu kugongwa ni nini wewe?? Drug dealers wako tayari kwa lolote hata kuua mzazi wake sembuse demu.. Sasa watch this Zari anaenda kuishi nyumba moja na Ivan kupika na kupakua. Alafu jingine lile gari la Diamond X5 unafikiri ni la kwake?? Subiri muda ufike, good news kwake ni kwamba kajitahidi kujenga hata nyumba maana ingekula kwake mazima
Hivi hebu tuambieni huyu dogo kawafanya nini ?????maana siamini kama ni hii ya kuwazidi nyinyi kimuziki ndo muwe munabandika na kubandua mauzushi munatoa hili mukishindwa munaweka hili. Sasa kama wewe unaongopa hadi HUJUI HATA AINA YA GARI ANAYOIMILIKI AMBAYO NI X6 NA si x5 na anaimiliki hiyo gari kabla hata hajajuana na ZARI.