Zari, Diamond biashara kwisha

Zari, Diamond biashara kwisha

tanzania wasanii wa kweli ni profesa j na sugu tu hao wengine njaa kama huyo diamond mwaka huu habari yake inafikia ukingoni
 
tanzania wasanii wa kweli ni profesa j na sugu tu hao wengine njaa kama huyo diamond mwaka huu habari yake inafikia ukingoni

Tokea anaanza wenzako walikuwa wanasema hivo, hivi sasa mwaka wa 6 bado anakimbiza
 
Kama wale YA UVUGUVUGU BENDI waliotembea mikoani wakimnanga mzee LAIGWAAAA jana walikuwa wanafanya show huku wakijichekesha wenyewe while people zimenuna kwenye BSS.Kweli Fiesta ya chama imewaponza.

Naona Jana watu waliwalia uso wa mbuzi sana tu mweeh they are still young.
 
Diamond kazi anayo, kumbe na Queen Darlin anakaa kwake? Hivi hawaolewagi hawa?

Huyu queen dahreen toka enzi zile za "inspekta sema basi unataka nn" mpaka leo hajaweza kusimama mwenyewe??.. Huyu kina duli walikua hawawezi kuimba nyimbo bila yeye kuingiza sauti yake..huyu kashiriki kumtoa kiba pia na "unanianda" yaani kama kweli analala kwa kaka na cv yote hiyo na umri huo basi tena asiufanye mziki kama kazi..hauna msaada kwake.
 
Hahahaha! Hii ina 100% ukweli ndani yake ujanja siyo kumpiga demu mimba ujanja ni walikuwa wanapiga hela kupitia mgongo wa diamond! Na hawa kina ivan wamefanikiwa kwa hilo! Zari anafanya umalaya kumbe kuna biashara nyingine ndiyo kitu wema sepetu alishindwa! Pole sana diamond mjini hapa!

Mjini mipango.. Hawa watoto wa mama wanakaa kiboyaboya hamna wanalolijua alafu wanajifanya wanajua sana..
 
Marhabaa.. Na huyo Zari ameshaona moto wa EL utamchoma kakimbia Tz na wala hatokaa harudi hapa kama Ukawa itaingia madarakani..

Asee kumbe hata huku kuna info za maana namna hii?sisi tumezoea Kule jukwaa letu pendwa ndio tunazipata za namna hii
 
Kwa hiyo hawa akina Ivan wapo tayari demu wao agongwe na azalishwe kisa tu biashara?? Ukawa bhana teh teh teh

Demu kugongwa ni nini wewe?? Drug dealers wako tayari kwa lolote hata kuua mzazi wake sembuse demu.. Sasa watch this Zari anaenda kuishi nyumba moja na Ivan kupika na kupakua. Alafu jingine lile gari la Diamond X5 unafikiri ni la kwake?? Subiri muda ufike, good news kwake ni kwamba kajitahidi kujenga hata nyumba maana ingekula kwake mazima
 
Hivi hebu tuambieni huyu dogo kawafanya nini ?????maana siamini kama ni hii ya kuwazidi nyinyi kimuziki ndo muwe munabandika na kubandua mauzushi munatoa hili mukishindwa munaweka hili. Sasa kama wewe unaongopa hadi HUJUI HATA AINA YA GARI ANAYOIMILIKI AMBAYO NI X6 NA si x5 na anaimiliki hiyo gari kabla hata hajajuana na ZARI.
 
Kama kutajwatajwa ingekua ni sababu ya m2 kujing'ata bac lowassa na dmond wangekua na vdonda ving mdomon
 
Hivi hebu tuambieni huyu dogo kawafanya nini ?????maana siamini kama ni hii ya kuwazidi nyinyi kimuziki ndo muwe munabandika na kubandua mauzushi munatoa hili mukishindwa munaweka hili. Sasa kama wewe unaongopa hadi HUJUI HATA AINA YA GARI ANAYOIMILIKI AMBAYO NI X6 NA si x5 na anaimiliki hiyo gari kabla hata hajajuana na ZARI.

Sawa ni hiyo hiyo X6.. Sasa ni yake?? Aya chukua namba za hiyo gari peleka TRA uambiwe nani ni mmiliki.. Msije mkasingizia kainunua kwahuyo Jamaa..
 
Marhabaa.. Na huyo Zari ameshaona moto wa EL utamchoma kakimbia Tz na wala hatokaa harudi hapa kama Ukawa itaingia madarakani..

Nimekufuatilia mdogo mdogo toka mwanzo ulipofika hapa nikafanya conclusion.... Kama ww ni me basi wazazi wako, mkeo /mpenz wako wana hasara ila kama ni Ke basi hamna tatizo lolote
 
Lol kastory katamuu...
Kumbe zari the buzi lady hayupo tz??
Acha muvi isonge mbele
 
⊙Promo ya Zari White Party.
⊙Diamond awapangie nyumba nyingine hao wajomba,mama,Edna,queen darlin pale kwake awe na hao hg na mlinzi tu.
 
Back
Top Bottom