Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
hhhhhaaaaaaaa wanaume hawataki kuoaa
Diamond kazi anayo, kumbe na Queen Darlin anakaa kwake? Hivi hawaolewagi hawa?
Kwahiyo mpwa hiyo source ilianza kwanza kuongea may be na Zari kisha Zari akasema "nitaendelea uhusiano na Diamond kama kawa kawaida lakini si kama ule wa zamani.....!" Baada ya kupata hiyo info, mtoa habari wetu akaenda pia kwa Diamond nae akasema "nitaendeleza uhusiano na Zari lakini haitakuwa kama ule wa zamani....!" Ndivyo unavyotaka kusema mpwa? Manake wakati unaweza kuwaona akina Asma na Queen Darleen wakikaa nyumbani kwa Diamond... na pia wakati ni very possible kuona Zari hajichanganyi na mawifi zake lakini suala la kujua kama wataendeleza uhusiano wao na watauendeleza vipi ni lazima uongee nao!!"" Taarifa nilizonazo ni kuwa , Diamond na Zari watakuwa wanaendelea na uhusiano wao wa kimapenzi lakini si ule wa kama awali . Ila wataendelea kuwa watu waliozaa mtoto na maisha ya Tiffah yataendelea kuwa kwa mama yake hadi hapo watakapoamua vinginevyo . Zari anaweza kuja Bongo na Diamond anaweza kwenda Sauz kwa Zari."