M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,843 Reaction score 35,442 Nov 26, 2020 #41 Will jr said: Nyie huwa hamna akili? Mbona mnamsifia sana Click to expand... Akili za binamu anazijua mwenyewe zinaenda mbele kilomita 10 afu zinarudi nyuma kilomita 1000, binamu huyuhuyu ambae mgombea wake wa Urais Alikua Rungwe useme akili zake zipo sawa!
Will jr said: Nyie huwa hamna akili? Mbona mnamsifia sana Click to expand... Akili za binamu anazijua mwenyewe zinaenda mbele kilomita 10 afu zinarudi nyuma kilomita 1000, binamu huyuhuyu ambae mgombea wake wa Urais Alikua Rungwe useme akili zake zipo sawa!
M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,843 Reaction score 35,442 Nov 26, 2020 #42 Kunguru wa Manzese said: Dah Yule mwanamke ana akili Sana wanawake wabongo sjui wanafunza kwenye ubongo Click to expand... Kinachowaangusha wanawake wa Bongo ni kupenda kula kipolo cha wali na chai kila asubuhi ndio akili zao zinapopoteaga hapo hata kuwaza zaidi hakuna au uliwahi kuona mla vipolo anakua na akili sawa sawa?
Kunguru wa Manzese said: Dah Yule mwanamke ana akili Sana wanawake wabongo sjui wanafunza kwenye ubongo Click to expand... Kinachowaangusha wanawake wa Bongo ni kupenda kula kipolo cha wali na chai kila asubuhi ndio akili zao zinapopoteaga hapo hata kuwaza zaidi hakuna au uliwahi kuona mla vipolo anakua na akili sawa sawa?