Zari: Diamond hawajawahi kunifukuza kwenye nyumba

Zari: Diamond hawajawahi kunifukuza kwenye nyumba

Nyie huwa hamna akili? Mbona mnamsifia sana

Akili za binamu anazijua mwenyewe zinaenda mbele kilomita 10 afu zinarudi nyuma kilomita 1000, binamu huyuhuyu ambae mgombea wake wa Urais Alikua Rungwe useme akili zake zipo sawa!
 
Dah Yule mwanamke ana akili Sana wanawake wabongo sjui wanafunza kwenye ubongo

Kinachowaangusha wanawake wa Bongo ni kupenda kula kipolo cha wali na chai kila asubuhi ndio akili zao zinapopoteaga hapo hata kuwaza zaidi hakuna au uliwahi kuona mla vipolo anakua na akili sawa sawa?
 
Back
Top Bottom