Zari: Diamond hawajawahi kunifukuza kwenye nyumba

Zari: Diamond hawajawahi kunifukuza kwenye nyumba

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Akiongea kupitia Ayo TV, mwanamama mjasiriamali mwenye swaggz za aina yake, Zarinah Hassan, amefunguka kuwa Diamond hakuwahi kumfukuza kwenye nyumba yake ya South ambayo alikua akiishi na watoto, ila mwenyewe aliamua kuhama baada ya makelele kuwa mengi , na alisema hata hivyo aliamua kurentisha hiyo nyumba na ni yeye ndo anakula kodi ya hiyo nyumba wala Diamond hajawahi kumuuliza chochote.

Ila kuna watu wana Bahati mjini, Sijui Zari mbunye yake huwa anaweka nini, she is just too extra, too expensive, hata kama anafanya umalaya But she doesn’t do cheap
 
Hafanyi umalaya ni msichana anayejitambua sana na mwenye msimamo mkali, akipenda kakupenda kwa dhati, anapenda show off lakini ziwe real sio fake. Yule bwana wake wa kwanza walipendana sana, jamaa alivopata mafanikio makubwa akaanza kumistreat Zari ikiwa ni pamoja na kumpiga, kudate na madem wengine waziwazi.

Zari akambwaga jamaa, na hata alipotaka kurudi akamkazia, na ili kumuonesha kuwa hamtaki tena, akaanza kudate na Dai na kumzalia watoto kabisa, jamaa akafa kwa pressure 😂😂😂. Alichokifanya Ivan na Diamond kakifanya, Zari hatomrudia Diamond anachoangalia ni malezi ya watoto tu ila asha move on........ Hana umalaya hata chembe ila ni mwanamke anayetambua thamani yake.

Na sisi wanaume tuombe wanawake wote wasijitambue, Siku wakijitambua na kujua thamani yao, nusu ya wanaume tutakufa ndani ya mwezi mmoja.
 
Akiongea kupitia Ayo TV, mwanamama mjasiriamali mwenye swaggz za aina yake, zarinah Hassan, amefunguka kuwa diamond hakuwahi kumfukuza kwenye nyumba yake ya south ambayo alikua akiishi na watoto, ila mwenyewe aliamua kuhama baada ya makelele kuwa mengi , na alisema hat hivyo aliamua kurentisha hiyo nyumba na ni yeye ndo anakula kodi ya hiyo nyumba wala Diamond hajawahi kumuuliza chochote.

Ila kuna watu wana Bahati mjini, Sijui Zari mbunye yake huwa anaweka nini, she is just too extra, too expensive, hata kama anafanya umalaya But she doesn’t do cheap
Afrika Kusini, kununua nyumba as a foreigner ni lazima uwe na kibali cha kuishi ( ambacho Diamond sidhani anacho ).

So, possibly kwenye hati za nyumba yupo Zari.
 
Vyovyote ambavyo zari yupo huyo mwanamke ni material wife

sema ni mama wa kidigitali ila she is something asee,makosa mengine ni ya kibinadamu.

nikiwa mimi diamond simuachi zari akizingua najitenga nae for a while nikikaa sawa narudia mke yangu.
 
Afrika Kusini, kununua nyumba as a foreigner ni lazima uwe na kibali cha kuishi ( ambacho Diamond sidhani anacho ).

So, possibly kwenye hati za nyumba yupo Zari.
Labda kama unazungumzia Sheria za enzi za Makaburu kinyume chake, maelezo yako hayana ukweli wowote hususani kwa mtu kama Diamond (Tanzanian national)!

Wanachoangalia ni visa status yako na nchi unayotoka... I mean, kama una stahiki kuingia na kuishi SA!!

Kwavile Mtanzania anaweza kuingia SA bila viza na kuishi up to 90 days, leo hii Mbongo anaweza kwenda SA na kesho akanunua nyumba provided sio illegal, na Jtatu akageuza!! Atatakiwa ku-apply extended visa only if kama anatarajia kuishi kwa zaidi ya siku ya siku 90 vinginevyo
hana sababu hiyo!!!

Kitu tofauti kabisa atakachotakiwa kufanya ni kujisajiri kama mlipa mlipa kodi wa SA kwa sababu mauziano ya nyumba yanaenda na kodi, na labda hapo baadae atalazimika kuiuza!!

Na sio hivyo tu, kwa Mbongo anaweza kununua nyumba SA bila hata kwenda huko SA.
 
Hafanyi umalaya ni msichana anayejitambua sana na mwenye msimamo mkali, akipenda kakupenda kwa dhati, anapenda show off lakini ziwe real sio fake. Yule bwana wake wa kwanza walipendana sana, jamaa alivopata mafanikio makubwa akaanza kumistreat Zari ikiwa ni pamoja na kumpiga, kudate na madem wengine waziwazi, Zari akambwaga jamaa, na hata alipotaka kurudi akamkazia, na ili kumuonesha kuwa hamtaki tena, akaanza kudate na Dai na kumzalia watoto kabisa, jamaa akafa kwa pressure 😂😂😂. Alichokifanya Ivan na Diamond kakifanya, Zari hatomrudia Diamond anachoangalia ni malezi ya watoto tu ila asha move on........ Hana umalaya hata chembe ila ni mwanamke anayetambua thamani yake.

Na sisi wanaume tuombe wanawake wote wasijitambue, Siku wakijitambua na kujua thamani yao, nusu ya wanaume tutakufa ndani ya mwezi mmoja.
Huu mwandiko sio wa kiume
 
Labda kama unazungumzia Sheria za enzi za Makaburu kinyume chake, maelezo yako hayana ukweli wowote hususani kwa mtu kama Diamond (Tanzanian national)!

Wanachoangalia ni visa status yako na nchi unayotoka... I mean, kama una stahiki kuingia na kuishi SA!!

Kwavile Mtanzania anaweza kuingia SA bila viza na kuishi up to 90 days, leo hii Mbongo anaweza kwenda SA na kesho akanunua nyumba provided sio illegal, na Jtatu akageuza!! Atatakiwa ku-apply extended visa only if kama anatarajia kuishi kwa zaidi ya siku ya siku 90 vinginevyo
hana sababu hiyo!!!

Kitu tofauti kabisa atakachotakiwa kufanya ni kujisajiri kama mlipa mlipa kodi wa SA kwa sababu mauziano ya nyumba yanaenda na kodi, na labda hapo baadae atalazimika kuiuza!!

Na sio hivyo tu, kwa Mbongo anaweza kununua nyumba SA bila hata kwenda huko SA.

Binamu nilikumic
 
Back
Top Bottom