gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,610
Kiki.com
Dogo nae Aache utoto!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo nae Aache utoto!!!!
Kiki aliyobakiza nadhani kutangaza analiwa Tigo.Kaona Tanasha hana kiki ana nyota ya giza ameamua amzungumzie Zari.
We ume target wapi mkuu,naona una attack mtu unaemuona kwnye mitandao tu,usisahau ni mama yuleZari Ni Malaya anayejua kuongea kingereza na kujiweka classic kila siku na mwambia demu wangu.
Zari hamna kitu pale Ana bisha,huyo zari wenu Ni vile watanzania hawajui kingereza basi wakiona madoido yale wanapagawaaa..
Zari na wema hamna tofauti,sema wema ame base na wanaume wa ndani, zari ame target Africa nzima.
Utajuaje.. Pengine domo hana mtoto pale kwaio kiapo hakina madharaHana washauri wazuri
ile ya magoli kwenye mechi ilibuma.. kaja na uongo. Duh!! Zari kaapa watoto wao wafe kama alicheat kabla ya black rose alipomuacha!!!!
ninyi viumbe asiyewajua ndiye atamaani kama mnamaanisha. mwanamke unaapa unaramba ardhi huku jambo umefanya.Hana washauri wazuri
ile ya magoli kwenye mechi ilibuma.. kaja na uongo. Duh!! Zari kaapa watoto wao wafe kama alicheat kabla ya black rose alipomuacha!!!!
Si uende instagram huko.Weka screenshot acha ujinga
Mimi nilikuwa najuwa huyo Zarina hajui kiswahili mpaka pale niliona tangazo la biashara la pampers za watoto kwa tv akiongea kiswahili safi kabisa kuwazidi Watanzania wenzetu waliozaliwa Watanzania wanaoishi upanga hawa kina Panjwani.Zari Ni Malaya anayejua kuongea kingereza na kujiweka classic kila siku na mwambia demu wangu.
Zari hamna kitu pale Ana bisha,huyo zari wenu Ni vile watanzania hawajui kingereza basi wakiona madoido yale wanapagawaaa..
Zari na wema hamna tofauti,sema wema ame base na wanaume wa ndani, zari ame target Africa nzima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimegundua Diamond ni mtu mkubwa sana hapa bongo..umaarufu wake unaenda sambamba na umaarufu wa raisi wa jamhuri ya muungano Tanzania, hata makonda hafati.....
Jamaa tangu atoe nyimbo na nyimbo i kick view one Million with in 17 hrs, hali imebadilika na leo kazungumzia mahusiano na Zari, ndo kachafua kabisa hali ya hewa huko instagram...accnt zote hot za akina mange kimambi na wngine ni kumzungumzia diamond tuuu..duh
humu jf na kwenyewe ni hivohivo, nachojua jamaa amefanya hvo strategically, anacreate attention kwenye nyimbo yake mpya..na atawin game,
Kuzeeka Ni lazma ur turn on the wayUbibi kizee kwa huyu bibie haufichiki
Lakini na nyinyi kaka zetu ile nyumba angenunuliwa Hadija wa Temeke mngemfukuza Mganda hamthubutu kumtoa ndani.Hana point hata moja huyo Zari ni kahaba tu,yaani nimemshusha vyeo mpaka 0 kabisaa!
Yule Trainer watu walianza kuongea kua anamla siku nyingi saana,kumbe anamla kweli halafu kwenye kitanda alichokununulia baba watoto wako!!hana adabu kabisa
Haitoshi anapeleka wanaume kwenye nyumba alonunua mwanaume mwenzio kweli?!huyu kahaba bora angeenda yeye Ivan akabaki wallah
is this b-i-t-c-h a South African or Ugandan?Mambo ni motoo usiku huu. Baada ya Diamond kudai alimuacha Zari sababu alichepuka na Peter wa PSquare pamoja na personal trainer wake, Zari naye amerudisha mapigo kwa kumwambia Diamond kwamba alishamtumia Black Rose hivyo asianze kufukua makaburi.
Zari ameenda mbali zaidi kwa kusema Diamond asitake na yeye afukue makaburi kwani atatamani ardhi ipasuke aingie kujificha.
View attachment 1079554
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
View attachment 1079551
View attachment 1079550
View attachment 1079549
View attachment 1079548
Diamond ameshakuwa talk of the town out of blue. Kweli au si kweli mjomba ?
Kiki aliyobakiza nadhani kutangaza analiwa Tigo.
Kazi haziendi.
Maa maa Yake ndo mshauri wakeYaan namuonea huruma sana sijui hana washauri hao manger wake bogus kweli.