Zari: Diamond usinichafulie maisha

Zari: Diamond usinichafulie maisha

Hapo anachafuliwa nini?mbna yeye mara kibao anamtuhumu mzazi mwenzie .wote wajinga hakuna mwenye nafuu
Mambo ni motoo usiku huu. Baada ya Diamond kudai alimuacha Zari sababu alichepuka na Peter wa PSquare pamoja na personal trainer wake, Zari naye amerudisha mapigo kwa kumwambia Diamond kwamba alishamtumia Black Rose hivyo asianze kufukua makaburi.

Zari ameenda mbali zaidi kwa kusema Diamond asitake na yeye afukue makaburi kwani atatamani ardhi ipasuke aingie kujificha.

View attachment 1079554

[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]

View attachment 1079551
View attachment 1079550
View attachment 1079549
View attachment 1079548
 
Hana washauri wazuri
ile ya magoli kwenye mechi ilibuma.. kaja na uongo. Duh!! Zari kaapa watoto wao wafe kama alicheat kabla ya black rose alipomuacha!!!!
Zari ameapa kwa watoto wawili tu wa Diamond kwasababu ni kweli alikiwa anadinywa kwenye choo cha gym na trainer wake.
 
Grow some balls? Hahaha hii kali
But balls are weak and sensitive
Let him grow a pussy...
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nimegundua Diamond ni mtu mkubwa sana hapa bongo..umaarufu wake unaenda sambamba na umaarufu wa raisi wa jamhuri ya muungano Tanzania, hata makonda hafati.....

Jamaa tangu atoe nyimbo na nyimbo i kick view one Million with in 17 hrs, hali imebadilika na leo kazungumzia mahusiano na Zari, ndo kachafua kabisa hali ya hewa huko instagram...accnt zote hot za akina mange kimambi na wngine ni kumzungumzia diamond tuuu..duh
humu jf na kwenyewe ni hivohivo, nachojua jamaa amefanya hvo strategically, anacreate attention kwenye nyimbo yake mpya..na atawin game,
Ashawini game!asseeehh
 
Zari Ni Malaya anayejua kuongea kingereza na kujiweka classic kila siku na mwambia demu wangu.

Zari hamna kitu pale Ana bisha,huyo zari wenu Ni vile watanzania hawajui kingereza basi wakiona madoido yale wanapagawaaa..

Zari na wema hamna tofauti,sema wema ame base na wanaume wa ndani, zari ame target Africa nzima.
Hewalaaaaaa!!!
 
Nimegundua Diamond ni mtu mkubwa sana hapa bongo..umaarufu wake unaenda sambamba na umaarufu wa raisi wa jamhuri ya muungano Tanzania, hata makonda hafati.....

Jamaa tangu atoe nyimbo na nyimbo i kick view one Million with in 17 hrs, hali imebadilika na leo kazungumzia mahusiano na Zari, ndo kachafua kabisa hali ya hewa huko instagram...accnt zote hot za akina mange kimambi na wngine ni kumzungumzia diamond tuuu..duh
humu jf na kwenyewe ni hivohivo, nachojua jamaa amefanya hvo strategically, anacreate attention kwenye nyimbo yake mpya..na atawin game,
MASTER MIND himself.....ana akili kubwa sana.
 
Zari nilikua namchukulia tawi za juu lakini alivyotoka na domo tu nikamshusha nyota zote.
 
Back
Top Bottom