Zari: Diamond usinichafulie maisha

We ume target wapi mkuu,naona una attack mtu unaemuona kwnye mitandao tu,usisahau ni mama yule
 
Hana point hata moja huyo Zari ni kahaba tu,yaani nimemshusha vyeo mpaka 0 kabisaa!

Yule Trainer watu walianza kuongea kua anamla siku nyingi saana,kumbe anamla kweli halafu kwenye kitanda alichokununulia baba watoto wako!!hana adabu kabisa

Haitoshi anapeleka wanaume kwenye nyumba alonunua mwanaume mwenzio kweli?!huyu kahaba bora angeenda yeye Ivan akabaki wallah
 
Zari angekaa kimya tu... Muungwana akivuliwa nguo huchutama...

Kwanza sio mwandiko wa Zari huo.
 
Mimi nilikuwa najuwa huyo Zarina hajui kiswahili mpaka pale niliona tangazo la biashara la pampers za watoto kwa tv akiongea kiswahili safi kabisa kuwazidi Watanzania wenzetu waliozaliwa Watanzania wanaoishi upanga hawa kina Panjwani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lakini na nyinyi kaka zetu ile nyumba angenunuliwa Hadija wa Temeke mngemfukuza Mganda hamthubutu kumtoa ndani.
 
is this b-i-t-c-h a South African or Ugandan?

the accent leans more southwards...no?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…