Zari: Hakuna kilichonivutia kwa Diamond nilipomuona mara ya kwanza

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Akihojiwa na kituo maarufu cha radio mjini, staa na mpenzi wa mwanamuziki maarufu nchini Diamond Platinumz, Zarinah Hassan, amesema kuwa hakuna kilichomvutia kwa mwanamuziki huyo ila wamejikuta tu wakiwa kwenye mawasiliano.

Zari aliendelea kutiririka kuwa hata walivyoonana na Diamond kwa mara ya kwanza hakuvutiwa a nae kimapenzi.


=======

Tazama video kadhaa za mahojiano hayo..

 
jamani hakuna sehem ya ku edit khaaaa sio kwa mchapio huo, umbea huu
 
Mwongo huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…