Zari: Hakuna kilichonivutia kwa Diamond nilipomuona mara ya kwanza

Mambo ya watoto hayo hayana tija mfukoni kwangu yupa kule
 
Sijaisikia hiyo interview lakini maneno kama hayo ndiyo yatampa ugonjwa wa moyo bi Sandra.
kasikilize binamu, alisema hta alivyomuona mara ya kwanza alimuona diamond sio mwanaume anayemfaa,yani hakua excited kabisa kumuona,ilitokea tu wakawa wapenzi,pia alisema huwa wanagombana kutokana na mazingira tofauti waliyokulia yan alimaanisha diamond mswazi sana
 
Do basi kamchana kistaarabu, sipati picha wakati wa uzazi wa Tiffa walikaaje pale Madale, binamu umbea suna.
 
Sijaisikia hiyo interview lakini maneno kama hayo ndiyo yatampa ugonjwa wa moyo bi Sandra.
Ungesikiliza interview usingeona cha ajabu alichokisema ila ukikuta mtu kachukua part ya interview kaweka mtandaoni utamuona zari ni kama chizi.
But the fact alikuwa anajaribu kujibu alichokuwa anaulizwa kwa kiswahili chake kibovu na alijibu vizuri mambo mengi na mengine alijaribu kukwepa kuyajibu japo waling'ang'ania ajibu.
 
Jamani turushieni hapa hiyo interview, asante mkuu.
 
Duh mkuu sijui kama iko online maana ilikuwa ni kwenye kipindi cha leo tena.
Trust me hakuna kibaya alichosema ila mtu akichukua part of it akaongeza na alivyoelewa yeye basi ndipo anaharibu
 
Hawa ndiyo wale wale tu! MSIMU
 
Akihojiwa na kituo maarufu cha radio mjini, staa na mpenzi mwanamuziki maarufu nchini diamond platinums, zarinah hassan, amesema kuwa hakuna kilichomvutia kwa mwanamuziki huyo ila Wamejikuta tu wakiwa kwenye mawasiliano, zari aliendelea kutiririka kuwa hata walivyoonana na diamond kwa mara ya kwanza hakuvutiwa a nae kimapenzi
2c43cc15935d6edf9f325f6c288282f2.jpg
1155c5fdda49ba51e88e7f37b256e279.jpg

Aliulizwa siku ya kwanza walivyoonana, na kuwa ilikuwa hivyo. Baadae mambo yakajipa, ni kawaida kwa wengi kuanza hivyo.
 
Back
Top Bottom