Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Ni sawa maana tuliambiwa ni Projekt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila sema ukweli,hiki kizungu chako sio cha Bongo au kama ni cha Bongo basi ni kule kwenye ada milioni 10 n.k si ndio ???Wewe una mzaha, wapo wanaojua kizungu bwana.
Hahaha you made me laugh mkuu, mimi ni wa Kwamtogole.Ila sema ukweli,hiki kizungu chako sio cha Bongo au kama ni cha Bongo basi ni kule kwenye ada milioni 10 n.k si ndio ???
Mkuu anamaanisha mbuzi kajikuta amefia kibanda cha supuhakuvutiwa kimapenzi thats good
ndiyo mkuuMkuu anamaanisha mbuzi kajikuta amefia kibanda cha supu
miss chagga upo...hakuvutiwa kimapenzi thats good
kasikilize binamu, alisema hta alivyomuona mara ya kwanza alimuona diamond sio mwanaume anayemfaa,yani hakua excited kabisa kumuona,ilitokea tu wakawa wapenzi,pia alisema huwa wanagombana kutokana na mazingira tofauti waliyokulia yan alimaanisha diamond mswazi sanaSijaisikia hiyo interview lakini maneno kama hayo ndiyo yatampa ugonjwa wa moyo bi Sandra.
Do basi kamchana kistaarabu, sipati picha wakati wa uzazi wa Tiffa walikaaje pale Madale, binamu umbea suna.kasikilize binamu, alisema hta alivyomuona mara ya kwanza alimuona diamond sio mwanaume anayemfaa,yani hakua excited kabisa kumuona,ilitokea tu wakawa wapenzi,pia alisema huwa wanagombana kutokana na mazingira tofauti waliyokulia yan alimaanisha diamond mswazi sana
wewe nae kama unataka kumtongoza si umtongoze tu,wacha kujizungusha hapa mfyuuu, peleken ubashara wenu huko inbox humu ubuyu tuIla sema ukweli,hiki kizungu chako sio cha Bongo au kama ni cha Bongo basi ni kule kwenye ada milioni 10 n.k si ndio ???
Duuuuuh,we mbona umeenda mbali sana .....Mi ndivyo nilivyo,nikiamua kukusifia waweza kuona dunia nzima yako,na nikiamua kukuponda waweza kujinyonga.wewe nae kama unataka kumtongoza si umtongoze tu,wacha kujizungusha hapa mfyuuu, peleken ubashara wenu huko inbox humu ubuyu tu
nipo mkuumiss chagga upo...
Ungesikiliza interview usingeona cha ajabu alichokisema ila ukikuta mtu kachukua part ya interview kaweka mtandaoni utamuona zari ni kama chizi.Sijaisikia hiyo interview lakini maneno kama hayo ndiyo yatampa ugonjwa wa moyo bi Sandra.
Jamani turushieni hapa hiyo interview, asante mkuu.Ungesikiliza interview usingeona cha ajabu alichokisema ila ukikuta mtu kachukua part ya interview kaweka mtandaoni utamuona zari ni kama chizi.
But the fact alikuwa anajaribu kujibu alichokuwa anaulizwa kwa kiswahili chake kibovu na alijibu vizuri mambo mengi na mengine alijaribu kukwepa kuyajibu japo waling'ang'ania ajibu.
Duh mkuu sijui kama iko online maana ilikuwa ni kwenye kipindi cha leo tena.Jamani turushieni hapa hiyo interview, asante mkuu.
Cheki hivi vipande my,japo vifupi.Jamani turushieni hapa hiyo interview, asante mkuu.
Akihojiwa na kituo maarufu cha radio mjini, staa na mpenzi mwanamuziki maarufu nchini diamond platinums, zarinah hassan, amesema kuwa hakuna kilichomvutia kwa mwanamuziki huyo ila Wamejikuta tu wakiwa kwenye mawasiliano, zari aliendelea kutiririka kuwa hata walivyoonana na diamond kwa mara ya kwanza hakuvutiwa a nae kimapenzi![]()
![]()