Kamanda J D
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 200
- 166
Sasa huo ndo ukweli wake povu la nini yeye kafuata fedha ila uzuri kazaa wawili wawe wa diamond au la kitanda hakizai haramu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
binamu sio Bure unajitahid kumpa kick zari Ila inagomaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera kwa hilojamani hakuna sehem ya ku edit khaaaa sio kwa mchapio huo, umbea huu
Ha ha haaaaa. Unatakiwa umshukuru kwani hulipii haya masomo.Halafu wewe,huwa unanikera na kidhungu chako,ona sasa nimemaliza dictionary zangu zote na bado nimetoka patupu.(basi watu watachukulia siriaz)
MOLA yupi?.Beautiful couple. ..MOLA awaongoze
Nipe tano!!!Alivutiwa, hakuvutiwa atajua mwenyewe!!
Tunachojua yeye ni mali ya Diamond tena kamilikiwa kienyeji..!!! Full stop.
Tena wazinzi wajuaji?MOLA yupi?.
Yaani kabisa unawaombea wazinzi!!?.
Uko tayari kuambiwa ukweli?hakuvutiwa kimapenzi thats good
inategemea na ukweliUko tayari kuambiwa ukweli?
Ushaleta siasa.inategemea na ukweli
ndiyo ukweli natakaUshaleta siasa.
alivutiwa kimasilahi zaidi-au ni mchagga?hakuvutiwa kimapenzi thats good
Nitakutaja kwa arasii akakupe ukweli wako.ndiyo ukweli nataka
anaweza kuwa mchaga ha hhahaalivutiwa kimasilahi zaidi-au ni mchagga?