Zari: Hakuna kilichonivutia kwa Diamond nilipomuona mara ya kwanza

Sasa huo ndo ukweli wake povu la nini yeye kafuata fedha ila uzuri kazaa wawili wawe wa diamond au la kitanda hakizai haramu
 
Bora umeongea ukweli Zari hili ni Dongo kwa wale ma pretenders
Ooh anavutia nampenda sijui nn nyoko umezaliwa nae huyo mpaka umpende? Sema umependa pesa yake maana hakuna asiyevutiwa na pesa hata ma Billionaire wanavutiwa nazo
 
Beautiful couple. ..MOLA awaongoze
 
Halafu wewe,huwa unanikera na kidhungu chako,ona sasa nimemaliza dictionary zangu zote na bado nimetoka patupu.(basi watu watachukulia siriaz)
Ha ha haaaaa. Unatakiwa umshukuru kwani hulipii haya masomo.
 
Anamaanisha hakumpenda diamond kimapenzi bali kifweza ndivyo wahaya tunavyosema.
 
hakuna kilichomvutia kwa diamond,chakushangaza watanzania pia tunasifia jibu kama hilo.
 
Diamond Kwanini asipige chini? Kama Yai kashasaidiwa analijua nini ana ngangania kwa Bibie huyu Zarinah? Jamaa amove on tu kama girl anatema shit ivi mkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…