But she said she was a big star on her own rights and she didn't see Diamond as a big star but a friend.No!no!hakuvutiwa kimapenzi bali alivutiwa kimaisha kama vile mama wawili na mingi unafikiri ilikuwaje?
Halafu diamond akakazia " sema mama hata kama ulinipendea lidomoo langu"kasikilize binamu, alisema hta alivyomuona mara ya kwanza alimuona diamond sio mwanaume anayemfaa,yani hakua excited kabisa kumuona,ilitokea tu wakawa wapenzi,pia alisema huwa wanagombana kutokana na mazingira tofauti waliyokulia yan alimaanisha diamond mswazi sana
Nenda YouTube utaikuta yote part 1 na 2Jamani turushieni hapa hiyo interview, asante mkuu.
Kweli mkuuDuh mkuu sijui kama iko online maana ilikuwa ni kwenye kipindi cha leo tena.
Trust me hakuna kibaya alichosema ila mtu akichukua part of it akaongeza na alivyoelewa yeye basi ndipo anaharibu
Ingawa walimuuliza tricky questions but she was so wise to answer them all.Kweli mkuu
Hakuna kibaya alichoongea Zari tena jokes za kufa mtuu,..
Nice interview kwa kweli..
Kumbe umeipata? Si umeona hakuna kibaya alichoongeaIngawa walimuuliza tricky questions but she was so wise to answer them all.
Kabisa mkuu, na nimependa alivyosema hana pressure ya kuwa mke wa Diamond, anaangalia future ya watoto wake kwanza.Kumbe umeipata? Si umeona hakuna kibaya alichoongea
Sasa mtu anaweza chukua tu phrase akaandika zarina kasema hana mpango wa kuolewa na diamond... na watu povu likawatokaKabisa mkuu, na nimependa alivyosema hana pressure ya kuwa mke wa Diamond, anaangalia future ya watoto wake kwanza.
Mama lina miakili lile sijapata onaKabisa mkuu, na nimependa alivyosema hana pressure ya kuwa mke wa Diamond, anaangalia future ya watoto wake kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuuuh,we mbona umeenda mbali sana .....Mi ndivyo nilivyo,nikiamua kukusifia waweza kuona dunia nzima yako,na nikiamua kukuponda waweza kujinyonga.
Kipindi kipo you tubeDuh mkuu sijui kama iko online maana ilikuwa ni kwenye kipindi cha leo tena.
Trust me hakuna kibaya alichosema ila mtu akichukua part of it akaongeza na alivyoelewa yeye basi ndipo anaharibu
hapana mnatutenga sisi tuliokosa fursa ya kusomaWewe una mzaha, wapo wanaojua kizungu bwana.
hana bahati na ndoa ya kanisani wala msikitini..Mama lina miakili lile sijapata ona
Anaangalia vision ya wanae kwanza..harusi badaeee sana
Domo hachomoi pale hata Wema ampe O hataki
Kweli humpendi hata akikupa tabasamu hukawii kusema kakunyari...hana bahati na ndoa ya kanisani wala msikitini..
anatamani sana kuolewa Ila ndo anajua mondi wala hatomuoa wale tu good time
[emoji40]Halafu wewe,huwa unanikera na kidhungu chako,ona sasa nimemaliza dictionary zangu zote na bado nimetoka patupu.(basi watu watachukulia siriaz)
Text mubashara...haha hahaawewe nae kama unataka kumtongoza si umtongoze tu,wacha kujizungusha hapa mfyuuu, peleken ubashara wenu huko inbox humu ubuyu tu
Zari kasema atamtambulisha rasmi Domo kwa babaake March mwaka huu...hana bahati na ndoa ya kanisani wala msikitini..
anatamani sana kuolewa Ila ndo anajua mondi wala hatomuoa wale tu good time