cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Watu wanashangaza sana! K yake kugegedwa anagegedwa yeye, tafrani za ujauzito anazijua na hajaomba 'ntu' amsaidie, uchungu wa kujifungua anaujua, gharama za kulea anazijua na hajaomba msaada kwa yeyote yule lakini bado kuna watu watalalamika tu!
Noma sana mimi kwetu tuko 12wengine kwao wamezaliwa 9 kama sio 11 lakini hapa kujifanya wanamponda Zari hebu kwendenu zenu kule
as long as she can take care I them muacheni azae
Aaah mbona me ninao 22Huyu Zari tunaomba serikali iingilie kati kwa kweli washa toshaaa.
[emoji15]Sio tu kupenda kuzaa angemalizia kabisa kuzaa na wanaume wenye pesa, mbona ya yule mcheza basketball aliitoa
Kweli kabisa mkuuKama mungu kakupa kizazi zaa mpaka waishe wote hata kama wapo 100 kumbuka kuna watu wanatafuta hata mtoto mmoja na hawapati
Kwahiyo ukipata mimba baada ya hao wa3 utatoa?Labor wards ambassador,kuzaa sana nacho kipaji.
Mimi nimezidisha sana watatu tu.
Hongera zake.
Kwani njia za uzazi wa mpango hakuna?Kwahiyo ukipata mimba baada ya hao wa3 utatoa?
Wamezoea kuona maskini akizaa timu ya mpiraKinachoshangaza ni watu kuona ajabu ya zari kuzaa watoto wengi
Kuzaa kipaji
Sipatii picha uchi wake, watoto nwote hao?
K yake ni mpira au?
Now una wangapi mkuuLabor wards ambassador,kuzaa sana nacho kipaji.
Mimi nimezidisha sana watatu tu.
Hongera zake.
Mkuu hajaribiwi, alishasema tufyatue tuHuyu Zari tunaomba serikali iingilie kati kwa kweli washa toshaaa.
Nifah mbona umebadilika!!kama the bold muonekano wa avatar yako!!Labor wards ambassador,kuzaa sana nacho kipaji.
Mimi nimezidisha sana watatu tu.
Hongera zake.